Mbuzi 50

Nina mbuzi 700 hapa simiyu.kwa Kila mmoja nauza Kwa laki sita tu.karibu mwana Dar es salaam nikuuzie mbuzi walionona.
Habari Mkuu,Hongera kwa harakati za ufugaji.Samahani Hivi Hapo Simiyu Siwezi Pata Pori (Nitalisafisha) au Shamba nifanye Mradi wa kufugia? 2.Vip hali ya hewa huko ni nzuri?
 
Yani ufate mbuzi Geita kwa bei ya laki moja wakati unaweza kununuwa Kilosa kwa bei chini ya hiyo?

Kwenye mapori ya kibaha tu kuna wamang'ati kibao.
Wanakidhi sifa tajwa?
 
Habari Mkuu,Hongera kwa harakati za ufugaji.Samahani Hivi Hapo Simiyu Siwezi Pata Pori (Nitalisafisha) au Shamba nifanye Mradi wa kufugia? 2.Vip hali ya hewa huko ni nzuri?
Unataka heka ngapi? Simiyu mbali hapo wilaya Mkuranga na Kisarawe kuna mapori ya kutosha tu.
 
Ngoja nisubiri wadau serious huwenda nikawekeza huku asee
 
Hii ni bei ya ng'ombe au mbuzi?
Mbuzi boss
Kuna mbuzi wa South Africa wanaitwa Boer na kuna Kalahari na Savanna hawa ni wakubwa sana wana uzito mpaka zaidi ya kilo 100

Bei zao ndio 3m kwa dume na jike ni 2m
Wapo wale wa Somalia wanaitwa Gala wao dume ni laki tatu na nusu
Atakaepata bei za chini tushtuane hapa

Ila wapo F1 ambao ni mchanganyiko bei zinakuwq chini
 
Kausha basi
 
Inawezekana watu wanatoa hadi uganda. unapoanzisha ufugaji cha kwanza huwa tunaangalia sifa(mbegu) za wanyama unao taka kufuga.
Exactly 💯
Tena ni rahisi zaidi na pia wana makaratasi yote mpaka walipotoka kama ni SA
Hakuna ujanja ujanja kama wabongo

UG wapo wafugaji wazuri sana na wanakupa historia yote ya mifugo kwa uhakika

Kama ni F1 utaanbiwa pia
Ila sisi sasa utauzia F1 kama mbuzi ya bila kuchanganya

Wengine wanajisifia kuwa wanao Boer lakini ukiangalia picha na video clip unaona kabisa sio Bongo bali South Africa

Sijui kwanini waongo waongo sana

Inataka kufuatilia sana haya
Kuna watu nawajua hata madawa wanaagiza toka SA
 
Reactions: Lax
Watanzania tuna asili ya utapeli mkuu mtu anaacha kufanya kazi zake zote na kuanza kupunguza mdomo wa chotara la kuchi ili ufanane na kuchi halisi lengo tu akuibie.

Unanunu kuchi mara anaanza kubadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…