Du unapakuaje? yaani mpaka ujiunge Mbilia Bel - Beng Beng 2
Wewe ni Member wa siku nyingi ?
huajweka Link wala chochote.
Wengi ni mashabiki wa Tabuley si ungeweka hata You Tube tungeipakua vizuri
Maana anakuja Mbilia Bel Mkuu

Duh cheki profile yangu boss! mi member wa muda tu! Tumia pc kudownload... kwenye simu au opera haionyeshi link. tumia browser Zingine kama Firefox! link inafanya kazi!