Mbunge wangu wa Tabora Kaskazini

Mbunge wangu wa Tabora Kaskazini

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Juzi nilikuwa jimbo la Tabora kaskazini. Hali ya jimbo ni nzuri lakini wananchi wanakulalamikia huwajali wala huna msaada nao.
Jirekebishe.
 
Wananyege nn awajari nn hawana waumeza
 
Juzi nilikuwa jimbo la Tabora kaskazini. Hali ya jimbo ni nzuri lakini wananchi wanakulalamikia huwajali wala huna msaada nao.
Jirekebishe.
Hali ya jimbo ni nzuri ila hawajali,sasa kama jimbo hali ni nzuri kipi wanataka zaidi?,nafikiri wanataka awape na pesa za matumizi,haiwezekani!
 
Back
Top Bottom