Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,310 Reaction score 5,157 Dec 13, 2020 #21 Mbunge wangu Ni msomi,alifaa kuwa waziri wa katiba na Sheria. NB:Mapungufu binafsi ya muhusika ambayo hayaendani na taaluma yake,isiwe fimbo kwake
Mbunge wangu Ni msomi,alifaa kuwa waziri wa katiba na Sheria. NB:Mapungufu binafsi ya muhusika ambayo hayaendani na taaluma yake,isiwe fimbo kwake
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,602 Reaction score 127,976 Dec 13, 2020 #22 Kabende Msakila said: Hiyo dhihaka haikusaidii, kwa Sheria ya kazi hiyo ni jinai na hairuhusiwi. Utofauti wa kisiasa usiwafanye kuwa watu wa namna hiyo Click to expand... Huyo Mbunge 'niliyemlenga' hapa amemshakubebesha nini 'Mimba' yake labda ndiyo maana 'umeumia' sana tu kwa Mimi 'Kumsiliba' hivi hapa JF?
Kabende Msakila said: Hiyo dhihaka haikusaidii, kwa Sheria ya kazi hiyo ni jinai na hairuhusiwi. Utofauti wa kisiasa usiwafanye kuwa watu wa namna hiyo Click to expand... Huyo Mbunge 'niliyemlenga' hapa amemshakubebesha nini 'Mimba' yake labda ndiyo maana 'umeumia' sana tu kwa Mimi 'Kumsiliba' hivi hapa JF?
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,150 Dec 13, 2020 #23 Huyu chaurembo sina hakika