kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kwani siku hizi Kuna wizara ya Uasikofu?Mbunge wangu ni Askofu Dr Gwajima.
Ana sifa zote za kukabidhiwa wizara!
Hata mimi siamini kiukweli kama Lugola alichaguliwa na kuwa waziri tena wizara nyeti,kuna vitu Jiwe anashangaza sana.Uwaziri kwenye awamu hii unategemea mteuzi anavyokufahamu au anavyowafahamu wazazi wako , haiangalii uwezo wa mtu , hebu niambie Mtu kama Bashungwa ana uwezo upi wa kuwa Waziri ?
Kuna polisi hadi leo hawaamini kama Lugola alikuwa Waziri wao
View attachment 1648042
Mimi wangu si tu kwamba ana Sifa ya kuwa Waziri lakini hata kama Taifa litataka Mcheza Filamu za Utupu na Kuwatapeli Waumini atafiti vizuri tu.Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini...natumaini mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizu ya vetting na KUSUBIRI sub
Kulingana na unavyomfahamu mbunge wako, je anafaa kuwa Waziri? Wazir wa Nini? Au naibu waziri wa Nini?
Mimi natoka kwa Mwanyika, anafaha kuwa Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ajifunze na aongoze chini ya uangalizi...lakini pia naishi Kawe, mbunge wa sasa hafai kwa nafasi yoyote yakuongoza watu anafaa kuendelea kulihudumia kanisa.
Wewe huko kwako kuna mwanga?
Hiyo dhihaka haikusaidii, kwa Sheria ya kazi hiyo ni jinai na hairuhusiwi. Utofauti wa kisiasa usiwafanye kuwa watu wa namna hiyoMimi wangu si tu kwamba ana Sifa ya kuwa Waziri lakini hata kama Taifa litataka Mcheza Filamu za Utupu na Kuwatapeli Waumini atafiti vizuri tu.