ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,619
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁
---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.
Amesema ametumia maneno hayo kwa sababu moja ya nyenzo ambazo wabunge hupatiwa wanapoingia bungeni ni Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kufuatilia utekelezaji wake.
Chanzo: TBC
My Take
Mbowe na Dr. Slaa na Wapinzani wengi tuu hawajawahi rudisha kadi za CCM, wako Upinzani Kwa maslahi kama kichaka Cha kutafutia vyeo Serikalini na CCM.
CCM ni Baba na Mama wa wote.