Mbunge wa upinzani kutoa zawadi kwa wagonjwa ni kosa?

Awamu hii ya tano wanaalegi na wanachadema,hawajiamini kabisa,au hawakushinda uchaguzi?
 
Leo si tumeambiwa tumuunge mkono rais wetu,haya ndio askofu pengo anayosema tumuunge nayo mkono ubaguzi
 
Tanzania iko ktk mfumo wa chama kimoja sasa ni wazi kabisa, vyama vingine msijihangaishe bure
 
Heri ya Christmas,

Naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku, ITV.
Mbunge wa viti maalum(CHADEMA) Roda Kanchela, amekataliwa kuingia kwenye hospitali ya Wilaya ya Katavi. Alikwenda hapo kwa minajili ya kusalimia wagonjwa kwenye wodi ya kinamama.

Imelazimu kinamama hao kutolewa nje ili wakapokee zawadi. Wauguzi wamekataa kutoa sababu.
Mshikamano na undugu baina yetu uko shakani kwa sababu ya siasa chafu. Sina hakika kama ni amri toka juu.
Badala kanisa likemee mambo kama haya kanisa linatuambia tuzidishe mikesha na maombi bila matendo
 
Kauli zenu siku zote ni za ovyo ovyo.Msigwa aliwahi kusema waziwazi kuwa kazi yao kama wabunge wa upinzani ni kupinga lolote linalofanynwa na setikali hata yale mazuri.Kwa kauli za namna hii na kama Hospitali ni ya serikali ,basi mbunge huyo wa viti maalum ashauriwe tu apeleke huo msaada katika hospitali za binafsi.Huko atapokelewa na kwa bahati nzuri wanaotibiwa ni watnzania pia.Na akiwaomba watu wa kamera watamfuata hata huko maana huo ndio ugonjwa wenu mkubwa wa kutaka kuonekana.
Hujamuona anayeita waandishi Wa habari akifungua vyoo vya Stendi?
 
Alifuata Taratibu zipi kupeleka zawadi hizo?
====
Mbunge ni mtu mzito siyo wa kuvamia hospital kirahisi rahisi. Lakini kama alifuata taratibu na nakubaliana na masharti aliyopewa na bado akazuiwa basikuna tatizo kubwa.
 
Back
Top Bottom