MBUNGE WA UKONGA AKIWA KWENYE MGOGORO WA ENEO LA SHULE YA MSINGI KIVULE

JUkonga

Member
Dec 30, 2015
14
13
Mbuge wa Ukonga Mh Waitara Mwita ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Kivule ameuingilia kati mgogoro wa eneo la shule ya msigi Kivule. Katika hatua ya awali mbunge pamoja na diwani wa Kivule waliusimamisha ujenzi wa ukuta unaotenganisha eneo lenye mgogro na eneo na kuliacha nje eneo sehemu ya eneo la shule yenye mgogoro. inadaiwa kuwa siku za karibuni takriban wiki moja, kuna mfadhili aliyejitokeza kufadhili ujenzi wa ukuta kulizunguka eneo la shule, hata huvyo baada ya wananchi kuhoji sana juu ya mfadhili huyo, majibu ya kina hayakuweza kupatikana kutoka kwenye uongozi wa Shule pamoja na Mwnyekiti wa Kamati ya shule juu ya ufadhili huo kwani inavyooneka mahitaji ya msingi kwa sasa ni kuongeza idadi ya madarasa kutokana na idadi kubwa ya watoto walioandikishwa mwaka huu.
Mgogoro huo ambao umeibuka siku za hivi karibuni mara tu baada ya Kata ya Kivule kuchukuliwa na Ukawa uliibuka kutokana na sehemu ya eneo la shule kumegwa na kuuziwa mtu mmoja katika utawala wa Mwenye kita wa Serikali ya Mtaa ndugu JB Gesaya ambaye aliirudisha sehemu ya eneo hilo kwa wajuu kwa bibi anayedaiwa kuliuza eneo hilo mwaka 2001.
inavyosemekana eneo hilo la shule lilikadiriwa wakati wa mauzo na baadaye viongozi wa wakati huo wakalipima kwa upya na kulirudisha kwa wajukuu na baadaye kuliuza bila wananchi wa Mtaa wa Kivule kujulishwa.
Wakizungumza katika mkutano huo, wananchi wa Kivule walidai kutokushirikishwa katika maamuzi ya kulirudisha sehemu ya eneo la shule kwa wajukuu wa bibi aliyewauzia wananchi na hivyo uongozi uliopita ulifanya makosa ya kulimega na kuiuza eneo la shule katika mazingira ya kutatanisha.

Akisoma maazimio ambayo baadaye yaliungwa mkono na wananchi wa Kivule, Mh Waitara, wananchi wa Kivule waliazimia kuwa enelo la shule litabaki kuwa na mipaka halali kama ilivyoainishwa kwenye hati ya Mauzo ya mwaka 2001, iliyowekwa sahihi na bibi Tatu Ally Dilekile ambaye anaonekana kwenye hati ya mwazo.
Na yeyote anayeona hakutendewa haki au alidhulumiwa aende akatafute haki yake mbele ya sheria,

Katika hatua nyingine wananchi wa Kivule walibadilisha matumizi ya msaada huo kutoka kwenye ujenzi wa Ukuta na sasa watautumia msaada huo kwa kujenga madarasa katika shule hiyo na ikiwa aliyetoa msaada hatakubaliana na sharti hilo basi ni bora ausitishe msaada na kuhamisha matofali pamoja na mchanga uliowekwa katika eno hilo la shule.

PICHA MBALIMBALI ZA MKUTANO WA WANANCHI WA MTAA WA KIVULE JIMBO LA UKONGA

k1.jpg
Mh. Waitara Akifungua mkutano wa Wananchi wa Mtaa wa Kivule.
k2.jpg
JB Gesaya Mwenyekiti Mstaafu wa Kivule akitoa ufafanuzi wa eneo la Shule.​

k3.jpg
Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Kivule​
k4.jpg
k5.jpg
k6.jpg
k7.jpg
k8.jpg
k9.jpg

Diwani wa Kata ya Kivule jimbo la Ukonga akifafanua jambo kwenye mkutano wa Wananchi.​
 
View attachment 315240 Mh. Waitara Akifungua mkutano wa Wananchi wa Mtaa wa Kivule.
View attachment 315241 JB Gesaya Mwenyekiti Mstaafu wa Kivule akitoa ufafanuzi wa eneo la Shule.​

View attachment 315242 Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Kivule​
View attachment 315243 View attachment 315244 View attachment 315245 View attachment 315246 View attachment 315247 View attachment 315248
Diwani wa Kata ya Kivule jimbo la Ukonga akifafanua jambo kwenye mkutano wa Wananchi.​
uandishi kazi! sijaelewa kitu.
 
Back
Top Bottom