Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilary

Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilary

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,540
Reaction score
1,475
Habari wanajamvi.....

Huyu mbunge aliwahi kulalamika Bungeni kuwa alitishiwa na Bwana yule na anaogopa hata kwenda Dar es saalam,akitoka Dodoma n moja kwa moja hadi jimboni kwake bila kujiburudisha kidogo pale dar es saalam.....

Juzi alionekana ikulu wakati spika anakabidhi ripoti ya kamati ya almasi na tanzanite kwa Mh Rais......

Je alifikaje dar?? je bwana yule aliyemtishia hakuwepo Dar es saalam Siku ile?????

Ujasiri wa kwenda Dar ameutoa wap????
 
Mbona kahamia Dar kabisa. Kule Swanga anaenda na kurudi hata ile biashara kaacha kabisa.
 
Bwana yule alikuwa dyodyomya, kuratibu mpango Wa kando, ndio maana alihudhuria

invest what you are willing to lose
 
Habari wanajamvi.....

Huyu mbunge aliwahi kulalamika Bungeni kuwa alitishiwa na Bwana yule na anaogopa hata kwenda Dar es saalam,akitoka Dodoma n moja kwa moja hadi jimboni kwake bila kujiburudisha kidogo pale dar es saalam.....

Juzi alionekana ikulu wakati spika anakabidhi ripoti ya kamati ya almasi na tanzanite kwa Mh Rais......

Je alifikaje dar?? je bwana yule aliyemtishia hakuwepo Dar es saalam Siku ile?????

Ujasiri wa kwenda Dar ameutoa wap????
Ripoti imekabidhiwa dar au dom?
 
Back
Top Bottom