barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Mbunge wa Serengeti Mh.Ryoba amepata ajali ya gari la gari lake kuharibika, ameandika hivi katika ukurasa wake wa Facebook
Ndugu zangu nimepata ajali mbaya sana baada ya gari langu kukata ball joint. Gari limegonga ukuta wa mtaro na kupinduka upside down, maeneo nyichoka huku Serengeti Gari limeharibika sana.Tulikuwa watatu ndani ya gari hakuna aliyeumia. God is great no one like Him. Asante Yesu kwa kuniokoa