Mbunge Wa Nyarugusu leo siku ya 5 mji wote hakuna umeme

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
583
Inasikitisha sana Mjini Nyarugusu Geita hakuna Umeme siku 5 mji mzima na hakuna hatua zozote au juhudi za Umeme kuwaka.

Update; 12/12/2018
Tanesco Geita hakuna umeme Nyarugusu yote kwa mda wa siku 9 na ni mji wa kibiashara,Ni hasara kwa wafanyabiashara,Wenye kaya zao pamoja na Usalama wa Raia kwa jumla.Wahusika mko wp??
 
sisi tunamshukuru mheshimiwa rais, huku kwetu mbeya kila siku unakatika ila jioni unarudi tunapata kushangaa mbu walivyowengi..
sijui kwa nini tulimzomea huyu mheshimiwa, maana kila siku tunasikia yupo Chate ila huku mbeya hachungulii na mda wake wa uongozi anahesabiwa miezi tu sasa yaani mwaka na miezi 10 kama hatofariki kabla..
 
Inasikitisha sana Mjini Nyarugusu Geita hakuna Umeme siku 5 mji mzima na hakuna hatua zozote au juhudi za Umeme kuwaka
huyo mbunge ni mwehu anajibaraguza nini yeye hajajuwa tuko kwenye mgao tangu mwezi wa juni kinachofanyika nikukatakata umeme kila baada ya msaa mawili maeneo mbalimbali na watu hawagundui magufuli kafirisi nchi bado kitambo kidogo tunaingia kwenye total breakout harafu utamsikia sitikishwi sikisiki huyu aliyetuleta kichaa katuweza kweli
 
sisi tunamshukuru mheshimiwa rais, huku kwetu mbeya kila siku unakatika ila jioni unarudi tunapata kushangaa mbu walivyowengi..
sijui kwa nini tulimzomea huyu mheshimiwa, maana kila siku tunasikia yupo Chate ila huku mbeya hachungulii na mda wake wa uongozi anahesabiwa miezi tu sasa yaani mwaka na miezi 10 kama hatofariki kabla..
Bora asije tunavyowajuwa watu wa huko akiwatukana kama alivyowatukana wananchi wa Geita Bukoba na Arumeru si mutampopotoa mawe kama kawaida yenu bora abaki aliko maana nyie hamvumilii matusi na yeye nicha matusi
 
Ni mbunge wa busanda.
Huyo mama hakupataga kura za kutosha.
Mawazo alishinda hapo na akauawa hapohapo.
Hata nyumbani kwa huyo mama hakuna mtu!

Transforma hapo ndio ishue
Ni kama 23ml hivi
Wawekeni sawa matajiri hapo wanunue.
Mkimsubiria Magu mtakesha!
 
RIP Mawazo, ukishiriki kutoa roho isiyo na hatia,hutakuwa na amani daima pia.
 
Tanesco Geita hakuna umeme Nyarugusu yote kwa mda wa siku 9 na ni mji wa kibiashara,Ni hasara kwa wafanyabiashara,Wenye kaya zao pamoja na Usalama wa Raia kwa jumla.Wahusika mko wp??
 
Back
Top Bottom