Mbunge wa Mtwara Mjini, Maftaha Nachuma anunua mabasi kwa ajili ya walimu na wanafunzi

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Mbunge wa Mtwara Mjini, Maftaha Nachuma wa (CUF) amenunua mabasi mawili kwa ajili ya usafiri wa walimu na wanafunzi katika jimbo lake na kuwasafirisha bure kwa lengo la kuwezesha kuinua kiwango cha elimu jimboni kwake.

Mtwara.jpeg

Neno moja kwa mbunge huyu Maftaha Nachuma.
 
Hongera kwa jitihada zake.
Swali: gharama za uendeshaji wa hayo mabasi anasimamia nani mkuu?
 
Mfuko wa jimbo ni moja ya kazi yake, kwn anainua maendeleo ya elimu jimboni.
 
Tunahitaji ubunifu km huo ktk kulibadili taifa na si kila siku kuanzisha league za ndondo, na kugawa vi t-shirt vya kichina.
 
Mbunge wa Mtwara Mjini, Maftaha Nachuma wa (CUF) amenunua mabasi mawili kwa ajili ya usafiri wa walimu na wanafunzi katika jimbo lake na kuwasafirisha bure kwa lengo la kuwezesha kuinua kuwango cha elimu jimboni kwake.

Neno moja kwa mbunge huyu Maftaha Nachuma.
Huyo niwakupongezwa

Sio kina Mbowe wanajua kwenda DUBAI
 
Weka picha tafadhali Ili tujiridhishe
 
Huyo niwakupongezwa

Sio kina Mbowe wanajua kwenda DUBAI
Acha kuongelea chini ya Meza njoo Hai uone......tulisha usahau ccm kabisa ,Mbowe ni zaid ya kiongoz anatupenda mambo aliyofanya ni makubwa sanaaa.....
 
Acha ushabiki
Hai!!
Sio ushabiki ww ndo unawashwa ukimsikia Mbowe...ila huyu ni zaid ya mbunge ,na hata hivyo ccm msahau iabisa kushinda hata uenyekiti wa kitongoji hapa..waulize wenzako ccm wanajua....mbowe hana shule mbovu kama zile za jimboni kwa Nape...
 
Kwenye jimbo la HAI Mh mbowe amepata madiwani wote, ccm hawana hata mmoja je kwenye family yako yupo anayelingana na Mh mbowe, au kwenye ccm yako yupo Mbunge anayefanana na mbowe? AU kwenye jimbo lako Mbunge wako unaweza kumfananisha na mbowe? Fanya tafiti ndipo upost
 
Sio ushabiki ww ndo unawashwa ukimsikia Mbowe...ila huyu ni zaid ya mbunge ,na hata hivyo ccm msahau iabisa kushinda hata uenyekiti wa kitongoji hapa..waulize wenzako ccm wanajua....mbowe hana shule mbovu kama zile za jimboni kwa Nape...
Hana shule mbovu
Yeye amesoma!!
Mnaongozwa na ZERO
Unajiona mjuaji
 
Hana shule mbovu
Yeye amesoma!!
Mnaongozwa na ZERO
Unajiona mjuaji
Maswala ya zero ss wananchi hayatuhusu......ila tunachotaka ni maendeleo na wakati division one Nape ameshindwa hata kujenga darasa sis tunaendelea kupasua anaga kielim....
 
Maswala ya zero ss wananchi hayatuhusu......ila tunachotaka ni maendeleo na wakati division one Nape ameshindwa hata kujenga darasa sis tunaendelea kupasua anaga kielim....
Kielimu!!
Mkoa wa kilimanjaro umeshika nafasi yangapi 4m 4 kitaifa
 
Back
Top Bottom