Mbunge wa Misungwi afiwa na mwanae

Mbunge wa Misungwi afiwa na mwanae

MwanaCCM

Senior Member
Joined
Feb 5, 2007
Posts
110
Reaction score
23
Naibu Waziri na Mbunge wa Misungwi Charles "mawematatu", amefiwa na mtoto wake wa kiume kwa ajali ya gari hapa Mwanza. Vedastus Kitwanga amekutwa na mauti jumamosi. Mazishi ni kesho nyumbani,kwake Misungwi. Bwana ametoana bwana ametwaa.
 
RIP Veda, ametwaliwa akiwa mdogo sana Veda....kazi ya mungu
 
R.I.P. ndugu yetu, na poleni sana wafiwa. bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, amen.
 
Naibu Waziri na Mbunge wa Misungwi Charles "mawematatu", amefiwa na mtoto wake wa kiume kwa ajali ya gari hapa Mwanza. Vedastus Kitwanga amekutwa na mauti jumamosi. Mazishi ni kesho nyumbani,kwake Misungwi. Bwana ametoana bwana ametwaa.
Oooh masikini Mbunge Charles Kitwanga.
Mungu awape faraja katika wakati huu mgumu.
Na RIP Vedastus Kitwanga
 
Inatuhusu Nini Sisi? Bora gamba moja limepungua!
 
R.I.P VEDA,Pole sana Mh.Kitwanga,,MUNGU AKUSTAHIMILISHE KWENYE HUU WAKATI MGUMU ULIONAO.
 
R.I.P mbunge wa Misungwi! Kwa hiyo jimbo liko wazi! Pole Veda kwa msiba wa mzee wako.
 
R.I.P mbunge wa Misungwi! Kwa hiyo jimbo liko wazi! Pole Veda kwa msiba wa mzee wako.

Khaa ndiyo mawazo ya majobless wengi. Mtasubiri hadi mtazeeka mkiwa makapuku. Tafuteni kazi nyingine mfanye ebo!
 
nothing to write, just tears of loosing a close friend mtu ambaye hata pocket money tulichanganya na kutumia pamoja, what a pity.
 
Back
Top Bottom