Mbunge wa Mbozi,Pascal Haonga (Chadema) alivyopokelewa na wauza mboga, matunda kupinga unyanyasaji wa vitambulisho vya machinga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mbunge wa mbozi Pascal Haonga kupitia tiketi ya (Chadema) alivyopokelewa na wauza mboga. matunda. nyanya.. tembele. mchicha.. wajasilia mali wote wakipinga manyanyaso yanayo tokana na vitambulisho vya ujasilia mali .. Watu wanateswa sana kupitia vitambulisho hivi.

chadema.jpg
chadema2.jpg
chadema3.jpg
 
Hayo ni majukumu yake kuteteaa wapiga kura wake dhidi ya Dhuluma na manyanyaso wanayopata kutoka serikalini. nyie wabunge waccm mpo bar mnasherehekea walala hoi kunyonywa.
Msukuma yupo jimboni Sauli yupo jimboni Mapunda yupo jimboni mama Tulia yupo jimboni tarajiwa lake Ila Lema nimepishana nae mlimani city jana sijui unaongea nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom