boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,797
- 4,215
Ugonjwa wa kichwa unaanza taratibu Tu Magufuri tutajikuta ametutawala milele hivi hivi
Naunga MKONYO hoja
Ikiwezekana aongoze Hata Baada ya Milele
Magu Kwa Wa TZ Ni Kama Manji Kwa wana Yanga
Wanyonge tuna Mu admire Sana Sana
Hajawahi kuingia darasani ila ana akili saaana!
Kama Mwanafunzi kaweza kuiba Mitihani Na kufaulu hiyo Pia Ni akili Ila huwezi kuijua Kwa Kuwa una nakisi ya ufahamu
Kuiba mtihani sio akili. Bali ni kudanganya.. hana tofauti na tapeli. Mtihan umekuwa designed kupima uelewa wa muhusika.. kama muhusika ataukwepa basi atakuwa amejidanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole sana mkuu
Mungu peke yake ndiyo wa mileleNaunga MKONYO hoja
Ikiwezekana aongoze Hata Baada ya Milele
Magu Kwa Wa TZ Ni Kama Manji Kwa wana Yanga
Wanyonge tuna Mu admire Sana Sana