Mbunge wa Longido kustaafu ubunge 2015

Mbunge wa Longido kustaafu ubunge 2015

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
9,347
Reaction score
5,553
Mbunge huyo ameyasema hayo kwenye mkutano wa uchaguzi wa ccm uliokuwa unafanyika mjini Longido. Amesema hatagombea tena Ubunge bali ataendelea kukitumikia na kukijenga chama chake.
Source: Itv habari
 
Atastaafu baada ya uchaguzi wa 2015, au kabla ya 2015? fafanua kaka!
 
MUONGO UYO KASOMA ALAMA ZA NYAKATI. MNAKUMBUKA UKO KWAO KUNA KIJIJI KIZIMA KILICHOKUWA CHINI YA CCM KIMEAMIA CDM??? USICHEZE NA M4C BANa..
 
Mbunge huyo ameyasema hayo kwenye mkutano wa uchaguzi wa ccm uliokuwa unafanyika mjini Longido. Amesema hatagombea tena Ubunge bali ataendelea kukitumikia na kukijenga chama chake.
Source: Itv habari

Kwahiyo alitaka kukwapua U-NEC wa kustaafu nao!
 
aisee kama ni kuchangia mada ndugu yangu unafaa na unaonyesha jinsi gani umekerwa sana. Lini wananchi wapenzi wa mundarara wataacha kufukua udongo kwa kutumia kucha zao kama kware hapo nje ya mgodi? Wakati wawekezaji hapo wanapakuwa siagi MUNGU aliowawekea wananchi haao? Nisaidieni hii kitu inanichefua.
 
Au anazuga ili badae ahamie chadema

yasije yakawa yalee ya mpendazoe wa kishapu
 
Back
Top Bottom