Uchaguzi 2020 Mbunge wa Kigoma Mjini 2020

Mbunge ni Prof. Joyce Ndalichako ambaye anaweza kuwa PM wa Kwanza mwanamke Tanzania
Ni kweli JPM hupenda wasaidizi wajingawajinga. Hapendi watu werevu kama akina Samia Suluhu au Majaliwa karibu yake. Ona mijitu kama akina Bashite au Musiba jinsi walivyo na favour ya moja kwa moja machoni pake. Kwa hiyo Ndalichako ana nafasi kubwa kama ulivyosema hapo.
 
Mtu uitwe makambako alafu unazungumzia mambo ya Kigoma huu ndo ulimbukeni
Huyu atakuwa mtoto Wa binamu yake Humphrey Polepole au ni Mtoto wake Wa nje wa Polepole maana Polepole ni mbena Wa huko njombe na makambako ni junction iliyochangamka kama kule kimanzichana
 
WATATUKANA SANA,LAKINI UKWELI UMEUTEMA VIZURI SANA....zitto hatoboi 2020 akiwa mbunge.

Yeye ajiandae kuwa msemaji wa maalim!

Kwishney............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P. kwa nini siku zote umekuwa mtetezi sana wa Zitto? sijawahi kuona ukipingana na hoja ya Zitto hata za kizushi kama zile za watu mia kuuawa, hata zile za kusena serikali haina chakula na watu wataanza kufa kwa njas, tulishasubiri hadi leo hatujaona hayo aliyo yasema, lkn nikuulize swali, Zitto mkoje naye mkuu na huwa anakupa nini hadi usimuone kuwa anachotaka muda wote ni political attention, leo unamtaja mbunge makini? jana kasema wanataka kumweka ndani kabla ya uchaguzi, ana nguvu gani hadi magu amuogope, wakati uchaguzi uliopita chama chake kilipata asilimia ambazo hazitajiki, je, Lissu atasemaje kama hata Zitto ni threat kwa uchaguzi ujao? hebu leo tuweke wazi!
Duh!, this time CCM imepata watu makini wanaojua kupanga hoja kuyakomboa majimbo yenye wabunge makini kama ZZK.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wapo wanaoamini katika mfumo wa chama kimoja hapo ndio kuna shida,wanahangaika kuharibu mfumo wa vyama vingi hawajuhi kuwa wananchi wameisha onja asali ya demokrasia hawataki kikundi cha watu wachache ndio waendelee kuwaamulia kwa kila kitu namna ya kuendesha maisha yao.Wananchi wanataka uhuru namna ya kuendesha uchumi wao,siasa zao,maendeleo yao .Uongozi uwe ni mratibu wa shughuri hizo na usiwe muamuzi wa kila kitu wananchi wanataka.
 

Mbunge haleti maendeleo fullstop.
 
DIAMOND PLATINUM kapita bila kupigiwa kura.
 
KWANI NYIE HAPO KIGOMA HAMJAWAHI KUWA NA MBUNGE WA CCM HUKO NYUMA? ALIWAFIKISHA WAPI? MBONA BADO MNALALAMIKA WAKATI TANGU MWAKA 1961 HADI SASA CCM IMEKUWA NI CHAMA TAWALA. MBONA HAMKIHOJI HUWA KINA FANYA NINI MIAKA YOTE YA KUWA CHAMA TAWALA? MIMI SIWEZI KUULAUMU UPINZANI HATA SIKU MOJA, MAANA HATUJAWAHI KUWAPA NAFASI YA KUUNDA SERIKALI TANGU TUPATE UHURU. KAMA UNA AKILI UTAELEWA NIKISEMACHO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…