Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,564
- 3,472
Hivi hyo sehemu Lukuvi hakumaliza kweli huo mgogoroKuna kijana mmoja anatumia jina la Sakala yupo Basihaya huyo ndiye aliyekuwa kinara akisaidiana na wenzake.
Mkuu waeza maliza mgogoro bila kupelekana jela, nasema si alikuja lukuvi hapo akatoaga maagizo flani nmesaau na mgogoro ukawa umeisha. Suala la wale wapigaji cku hizi wana bodaboda ni ishu ingineHakumaliza kwa sababu vijana waliovamia na kuuza maeneo hayo hawajachukuliwa hatua yoyote wapo wanaendesha bodaboda walizozipata kutokana na kuuza maeneo hayo.
Swali la kujiuliza walipata haki wapi hakivya kuvamia na kuuza?
Mbona wameachwa pamoja na kufanya udhalimu huo?
Lakni toka waanze Upimaji mpaka leo hamna kinachoendeleaSwala hilo lilishamalizwa na serikali ya ccm nasasa linaendelea kupimwa kama makzi mbunge hana ubavu.
Kuna tatizo hapo siasa isitupotosheLakni toka waanze Upimaji mpaka leo hamna kinachoendelea
Ni Makala kama sikosei ndio jina lakeKuna kijana mmoja anatumia jina la Sakala yupo Basihaya huyo ndiye aliyekuwa kinara akisaidiana na wenzake.
Mlaki,Wenye haki hapo ni wapi kama kiwanda kimeamua kuachia hayo maeneo?
Je ni wale walikuwa wamiliki wa awali waliolipwa fidia ya mazao mwaka 1996 kupitia NBC bank au.
Ni hao wavamizi walioyapoka hayo maeneo kabla ya makabidhiano kati ya wamiliki wa awali na kiwanda au
Ni waliuziwa na wavamizi( namaanisha walio sasa huko Chasimba?
Mbunge yuko busy kupanga bajeti ya kuandamana badala ya bajeti ya maendeleo !!!!
Ndio mkome kuchagua machadema