Mbunge wa Dom Mjini

Mbunge wa Dom Mjini

Kibubumo

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
18
Reaction score
2
Wapendwa naomba aliye na taarifa za aliyekuwa mbunge wa dodoma mjini Nd Efraim Nehemia Madeje atujuze kidogo
 
Nchi hii majimbo yenye wabunge hayazidi 23, sidhani kama Dodoma ni mmojawapo!
 
Mkuu kwani kuna tetesi zipi ulizo zisikia juu yake?Naona uzihuu uko kichwa chini miguu juu
 
Sijua,ila kama unataharifa yoyote tupia hapo!
 
mtoa mada kakurupuka.
Uyo jamaa anayemtaja hajafanya lolote pale dom.
Mean hana la kukumbukwa. Ila nasikia alikua ni mtaalam wa mawasiliano labda TCRA wamuajiri.
 
Wagogo Dom ni kama Waruguru pale Moro, kila wakifanya kale ka-ubaguzi eti tumchague wa kabila letu "inakula kwao". Hadi watakapoacha hii dhambi ndo waendelee. Huyo Madege niliwahi kusikia alitangaza kutogombea tena, mara akapata ma-bush lawyer wakamshauri agombee. Ndipo hapo wagogo walipompiga kibuti cha mbavu. Kuna yule alokuwa meya wa Dar alienda kugombea huko, sikumbuki kipi kilimpata.
 
Jamaa amenikumbusha Mbunge mmoja alikuwa anaitwa Joseph Monko. kipindupindu ni mbaya sana!
 
anatenda ya kusambaza kuku katika hotel mbalimbali hapa mjini dodoma
 
Back
Top Bottom