JUMBE ABDALLAH
Member
- Jun 15, 2013
- 22
- 5
Japokuwa Umepata Bahati Jimbo Lako Halina Changamoto Nyingi Kama Lile La Mzee Wa Kusinzia Pale Mjengoni, Kwani Miundombinu Ya Barabara Na Maji Pamoja Na Huduma Za Kijamii Kama Hospital Na Shule Zote Zinajengwa Na Kukurabatiwa Na Serikali Pasipo Na Msukumo Wako, Hii Imekufanya Ukae Kimya Kama Vile Jimbo Halina Matatizo Mengine. Kila Kukicha Kuna Migogoro Baina Ya CDA na wananchi pia matatizo ya ajira kwa vijana yapo ila wewe umekaa ata bungeni kupaza sauti yako amna, umekuwa mtu wa kugonga meza na kujibu ndiyo na muda mwingine uko bize na shule yako ya CITY. utaki ata kuitisha mikutano na wananchi kujadili changamoto zinazolisumbua jimbo. tutaonana mwakani tunakusubiri.