assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Inamaana kama kikwete akiamua ifikapo 2014 akatoa ahadi lukuki na 2015 ikashinda cuf, chadema au nccr je wanapaswa kutimiza ahad hizo? Kama ndivyo kuna tatizo kwan anaweza fanya hayo kwa kukomoa ajaye, nashauri kama ni ahadi zinazotakiwa kuendelezwa ziwe zile ambazo zipo kwenye mipango ya maendeleo na kuidhinishwa na bunge,na si za kuropoka majukwaani.
****** zake amkome Rais wetu
******* zake amkome Rais wetu
Rais akiwa dhaifu hawezi kupokelewa upuuzi wake aloahidi na mrithi wake maana huwezi kurithi fuko la mavi la mtangulizi wako kisa alikuwa rais...Mtu kama jk anawa ahidi wapuuzi wenzie kwamba eti atajenga barabara juu na chini huu si ni upuuzi nadharau ya hali ya juu kwa wananchi
"LUKU-JIVI" asitudanganye hapa! yaani Dr Slaa aje atimize UTAPELI aliofanya MSANII aka dhaifu! NEVER! My president is a thinking president!! Siyo huyu kilaza!! bingwa wa "ngozi"Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Suzana Lyimo ,ameitaka Serikali kuwapeleka mahakamani marais wanaoshindwa kutimiza ahadi zao hadi wanastaafu.
Lyimo alitoa pendekezo hilo jana bungeni alipouliza swali la nyongeza kuhusu ahadi za Rais Jakaya Kikwete ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na wabunge wengi kutoka Chama Cha Mapinduzi.
"Mheshimiwa Spika, wabunge wengi wamekuwa wakilalamikia juu ya ahadi za Rais kila mahali na hasa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi, je inakuwaje Rais anaposhindwa kutimiza ahadi zake na wakati mwingine hadi anamaliza kipindi chake cha uongozi ni kwa nini asishtakiwe mahakamani kwa uongo," alihoji Lyimo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi alisema kuwa hakuna tatizo kwa Rais kutotimiza ahadi zake kwani anapomaliza muda wake Rais anayemrithi huwa anatimiza ahadi hizo kwani ni ahadi za Rais sio anatoa fedha mfukoni mwake.
Awali katika swali la msingi Mbunge wa Mkinga Dustan Kitandula (CCM), alitaka kujua ni hatua zipi zimechukuliwa ili kutimiza ahadi ya Rais juu ya kujenga kwa haraka Hospitali ya Wilaya ya Mkinga.
Pia alihoji kuhusu kupandishwa hadhi Kituo cha Maramba.
tehe tehe tehe ni kutongoza kweli mkuu manaake mtongozwaji akishaingizwa "mjini" kwa mimba isiyotarajiwa anaachwa kwenye mataa baada ya limjamaa KUFWAIDI.unaahidi utafikiri unatongoza demu
nawapenda sana cdm, lakini wabunge wake wengi wa viti maalum ni mbumbumbu. Wapi duniani rais alitimiza ahadi zake zote alizotoa wakati wa kampeni? Tuanze na wabunge tuu, ni wangapi wametimiza ahadi zao?