Mbunge wa CHADEMA Kusomesha Vinara wa Masomo MBOZI

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
MBUNGE wa CDM jimbo la Mbozi Magharibi, David Silinde ameahidi kuwasomesha wanafunzi watakaopata daraja la kwanza katika mtihan wa kidato cha nne kuingia cha tano kwa kutumia mfuko wa jimbo ili kuleta maendeleo kwa kuwapunguzia mzigo wazazi. Akiongea ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya itaka mh. Silinde alisema ameamua kufanya hivyo ili kuweka ushindan kwa wanafunzi wa sekondari wasome kwa bidii wawapo darasani na kuwapa hamasa wazazi kuwahimiza watoto wao wasome kwa bidii zaidi.
Aitha Silinde alisema ifikapo mwaka 2015 atahakikisha ujenzi wa shule ktk kata ambazo hazina unakamilika na kufutilia mbali suala la kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ktk jimbo lake kuepusha kero ya michango isiyokwisha kwa wananchi.
Source; mwananchi newspaper
 
Ni mbunge anayetenda anachosema namkubali sana, tunahitaji viongozi wengi wenye matendo siyo kila wakati tunakalia siasa we need action, safi sana Silinde
 
I like it,ila huo mfuko si nasikia unapingwa?

Ukifutwa ana njia mbadala?
Maana ndo kesha ahidi hivo,wananchi hawajui mfuko kufutwa wala nini
 
Back
Top Bottom