MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James ole Millya ameipongeza serikali ya Rais Magufuli kwa kuwezesha kuleta maendeleo hasa katika sekta ya maji tokea Jimbo la Simanjiro lianzishwe.
‘’Mimi kama Mbunge wa Jimbo ninaishukuru sana serikali kwa sababu tangu wilaya hii ianzishwe haijawahi kupata maji ya uhakika kama haya, Mungu awabariki sana na ninawashukuru sana’’ Millya alisema.
Millya alimalizia kwa kumwambia Waziri Mkuu, Majaliwa, ‘’nilipoingia pale bungeni, najua unahusika kwenye kupanga kwenye kamati, umenipanga kwenye kamati ya kilimo, mifugo, maji na uvuvi. Baada ya kunipanga katika kamati hiyo, tumefanikiwa kupata mradi mkubwa wa bilioni 43’’.
Ama kweli, Ukweli huwa haupuuzwi na hakuna mbadala wa ukweli.

VIDEO: