Mbunge wa jimbo la nkenge wilayani misenyi,Mhe.Assumpta.M.(CCM) akimbiwa ktk mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya ishozi,baada ya kushndwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hyo hasa alipotakiwa kutoa sababu za kwnn alitaka kupeleka hoja binafsi ya kuwa umeme vijijini lisiwe kipaumbele,aliposhndwa kutoa ufafanuzi huo wananchi waliondoka nakuachwa pekeyake pmoja na msafara wake.YAANI ALITIA HURUMA,kazi ni kwake
Habari za kupikwa hizo
Heh; jamani dada yangu! Japo mi ni CDM lakini huyu dada asipokuwa makini na watu wa jimboni kwake atapata shida. Nakumbuka hata wakati wa Kampeini aliambiwa aongelee mambo ya kwake na asiongelee mambo ya CCM na JK, kilichomsaidia ni kwamba cdm walikuwa wamesimamisha Mwanamuziki ambaye kwa kila hali alikuwa akubaliki katika uwanja wa siasa!
2015 nimvae nini? mimi ni mzaliwa wa huko Nkenge nimesomea huko; na ninafahamika vizuri, tatizo baba yangu ni mfuasi wa CCM - sijui niingie kwa ga ipi?
Habari za kupikwa hizo
Mbunge wa jimbo la nkenge wilayani misenyi,Mhe.Assumpta.M.(CCM) akimbiwa ktk mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya ishozi,baada ya kushndwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hyo hasa alipotakiwa kutoa sababu za kwnn alitaka kupeleka hoja binafsi ya kuwa umeme vijijini lisiwe kipaumbele,aliposhndwa kutoa ufafanuzi huo wananchi waliondoka nakuachwa pekeyake pmoja na msafara wake.YAANI ALITIA HURUMA,kazi ni kwake
Habari za kupikwa hizo
Alijitoa huyo bwana Fokas, ni DJ ila najua angetoa upinzani mkali kama asingejitoa
nafarijika na napata raha mustarehe moyoni mwangu nnavyosikia wabunge magamba wakiambulia aibu,,huyo mama mpayukaji tu bora ilo jimbo angebaki bw diodorus buberwa kamala
wapare amkeni mnaona wahaya,,,wachaga,wasukuma,waha,wanyakyusa wameru wairaki mbulu,,,wangon wanakuja,,,wanyaturu,,lindi,,,,,,,wapare tunani hadi aibu,,,,