Uchaguzi 2020 Mbunge Sugu ni mwanasiasa anayeweza kuisaidia nchi akitumika vizuri

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.

Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020 asirudi bungeni. Siasa zimebadilika sana. Kama Magufuli na timu yake wameamua Mbeya irudi CCM, itarudi CCM.

Hata Maalim Seif aliamini atakuwa Rais wa Zanzibar 2015. Akajitangaza mshindi. Akavunja Katiba. Uchaguzi ukarudiwa, akasusa, akajua wananchi watafanya kitu. Hakuna lililofanyika. Akategemea Jumuiya za Kimataifa zitaingilia, yakatoka matamko mepesi tu. Sasa hivi kajiunga ACT anazeekea huko.

Sugu meza jeuri yako. Chagua upande unaoweza kukukuza kisiasa na kuwasaidia wananchi. Dunia ya sasa haijali harakati.
 
Buroo hata wewe?

Kiufupi game ya mwaka huu inachezwa kitaalamu mzee baba mtake msitake.

Huko Mbeya walishamaliza uchaguzi kitambo wanasubiri tume itangaze tarehe ya Sugu kuripoti bungeni.

Katafute kazi ya kufanya chama cha kukataliwa.
Namuwazia makubwa zaidi ya Ubunge wa Mbeya mkuu. Nisome vizuri.
 
Viva Sugu, majuzi mjengoni katetea maiti kuzuiliwa hospitali ndani ya wiki waziri mwenye dhamana katoa maelekezo. Sugu ni zaidi ya wabunge 50 wa ccm kwa hoja na udhubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa ni hoja nzito na inayojali utu. Ningeshangaa serikali inayojali maslahi ya watu wake isingeifanyia kazi.
 
Mangapi yanawasibu Watanzania, wabunge wa ccm wamejengewa mfumo wa uoga kukosoa serikali, na wachache waliothubu kama kina Bashe ni kwa sababu ya uwepo wa checks and balance wabunge kambi ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.

Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020 asirudi bungeni. Siasa zimebadilika sana. Kama Magufuli na timu yake wameamua Mbeya irudi CCM, itarudi CCM.

Hata Maalim Seif aliamini atakuwa Rais wa Zanzibar 2015. Akajitangaza mshindi. Akavunja Katiba. Uchaguzi ukarudiwa, akasusa, akajua wananchi watafanya kitu. Hakuna lililofanyika. Akategemea Jumuiya za Kimataifa zitaingilia, yakatoka matamko mepesi tu. Sasa hivi kajiunga ACT anazeekea huko.

Sugu meza jeuri yako. Chagua upande unaoweza kukukuza kisiasa na kuwasaidia wananchi. Dunia ya sasa haijali harakati.

Bora wewe imezungumza ukweli kuwa Magufuli ndio anaamua nani awe mbunge wa jimbo na sio kura za wananchi. Na umekiri kabisa hakuna anayejali uporaji wa haki za wananchi ili miradi mtawala anataka nini.
 
Namuwazia makubwa zaidi ya Ubunge wa Mbeya mkuu. Nisome vizuri.

Sio unamuwazia makubwa, sema unataka ahongwe cheo ili ahamie ccm. Na hofu yako inayoongozwa na kitu kimoja tu, iwapo wananchi wa Mbeya wataamua kusimama na Sugu pindi wakiporwa haki yao, ni lazima kutatokea machafuko ambayo yataichafua nchi, na udictator wa jiwe utazidi kuwa wazi peupe. Kwakuwa umenusa hatari iliyo mbele, unaweka mazingira ya yeye kwenda ccm ahongwe cheo ili asiharibu hali ya hewa.
 
kumbe nyie ndo mlimpigia simu akawatolea nje? kuna muda mnampigia simu mlimuahidi uwaziri?
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.

Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020 asirudi bungeni. Siasa zimebadilika sana. Kama Magufuli na timu yake wameamua Mbeya irudi CCM, itarudi CCM.

Hata Maalim Seif aliamini atakuwa Rais wa Zanzibar 2015. Akajitangaza mshindi. Akavunja Katiba. Uchaguzi ukarudiwa, akasusa, akajua wananchi watafanya kitu. Hakuna lililofanyika. Akategemea Jumuiya za Kimataifa zitaingilia, yakatoka matamko mepesi tu. Sasa hivi kajiunga ACT anazeekea huko.

Sugu meza jeuri yako. Chagua upande unaoweza kukukuza kisiasa na kuwasaidia wananchi. Dunia ya sasa haijali harakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.

Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020 asirudi bungeni. Siasa zimebadilika sana. Kama Magufuli na timu yake wameamua Mbeya irudi CCM, itarudi CCM.

Hata Maalim Seif aliamini atakuwa Rais wa Zanzibar 2015. Akajitangaza mshindi. Akavunja Katiba. Uchaguzi ukarudiwa, akasusa, akajua wananchi watafanya kitu. Hakuna lililofanyika. Akategemea Jumuiya za Kimataifa zitaingilia, yakatoka matamko mepesi tu. Sasa hivi kajiunga ACT anazeekea huko.

Sugu meza jeuri yako. Chagua upande unaoweza kukukuza kisiasa na kuwasaidia wananchi. Dunia ya sasa haijali harakati.
Sifa ya kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika; je sifa ya kuteuliwa kuwa waziri ni hiyo hiyo ya Ubunge au kuna sifa ya ziada? Mtazamo wangu si Wabunge wote wana sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa mawaziri
 
Hakuna Uchaguzi mgumu sana kama Uchaguzi Mkuu.Unajua ni kwanini?Unafanyika siku moja, muda ule ule.Kila mbunge (wengine Wahe.maWaziri) anakuwa jimboni kwake,Rais anakuwa anahaha nchi nzima kutafuta kura,nk.Yaani kila mgombea anakufa kivyake,unaachwa jimboni ukipambana peke yako.Ni tofauti na uchaguzi wa jimbo moja ambao timu yote inakuja 'kushambulia'.Ikitokea ukarudiwa hapo lazima upewe za USO!
 
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.

Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020 asirudi bungeni. Siasa zimebadilika sana. Kama Magufuli na timu yake wameamua Mbeya irudi CCM, itarudi CCM.

Hata Maalim Seif aliamini atakuwa Rais wa Zanzibar 2015. Akajitangaza mshindi. Akavunja Katiba. Uchaguzi ukarudiwa, akasusa, akajua wananchi watafanya kitu. Hakuna lililofanyika. Akategemea Jumuiya za Kimataifa zitaingilia, yakatoka matamko mepesi tu. Sasa hivi kajiunga ACT anazeekea huko.

Sugu meza jeuri yako. Chagua upande unaoweza kukukuza kisiasa na kuwasaidia wananchi. Dunia ya sasa haijali harakati.
Hivi haturuhusiwi kutukana ee fala we najua sio tusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoani Mbeya wanaomzidi Sugu umaarufu ni hawa;
1. Mungu
2. Yesu
3. Muhammad
Hata shetani na wafuasi wake wa Lumumba wanajua hilo.
 
Back
Top Bottom