Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,428
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983.
Ambapo amekili kupokea Bati hizo AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka, wakiwepo viongozi wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mabamba, wananchi wa Kata ya Mabamba pamoja na Mhe. Diwani ambae alikuwa na Mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa Kata hiyo ya Mabamba waliompa ridha ya kuwawakilisha kwa miaka mitano.
Na ikumbukwe kuwa Mhe. Samizi Mbunge wa Muhambwe toka alipongia madarakani Muhambwe ni Mbunge ambae amekuwa akitatua kero mbalimbali ndani ya Jimbo lake.
WANANCHI WA MABAMBA WAHIDI KUMPA KURA ZA KISHINDO SAMIZI NA SHEDRACK CHONGERA-DIWANI WA KATA YA MABAMBA.