Katoa hela ya mkopo kwa hospital na elimu kwa watotoYupo nassary katoa masaa sita kwa mganga Mkuu wa wilaya jimboni kwao. Amekagua hospital na kuonesha hakubaliani na mambo yanavyoendelea
Unaishi maeneo gani dsm?Ni Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Mkuu point sio kushinda kesi... Point ni kujaribu kila njia kutetea wananchi, hata akishndwa kesi... Ila amejitokeza kuwatetea, hicho ndicho tunachomsifia.... Watz inabid tujenge destur ya kupembua vitu kwa umakini... Tusikurupukemambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Mambo ya kisheria sawa,sasa bila huyo mbunge kufungua kesi mbunge yangetokea haya?give credit where credit is due.mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Umemsahau pia na mbunge wa mikumi mkuu yeye tayari alishaanza kupiga mzigo kwa kuanzisha barabara mpya na alisimamia mwenyewe bahati mbaya picha zinakataa kuzi uploadNi Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
Mkuu husitegemee mwana lumumba akapongeza hapo zaidi ya kupondaMambo ya kisheria sawa,sasa bila huyo mbunge kufungua kesi mbunge yangetokea haya?give credit where credit is due.
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
ameishashinda kwa maana ya kuzuia zoezi mpaka kesi ya msingi isikilizwe, hilo tu linatosha sana kuiamsha hii serikali ya matukio na kukurupuka kuwa kuna utawala wa sheria, na kila mtu ana haki ya kusikilizwa hata kama ni mkosaji, I wish the same iapply kwa watumishi waliosimamishwa kazi ghafla na wanasiasa bila kusikilizwa,mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea