Kwani umefuatilia bunge ukabaini kwamba hayupo bungeni au umeanzisha Uzi baada ya kummiss ghafla?
Mkuu usidanganyike kuwa bunge kutoonekana live ni ufinyu wa bajeti, la hasha! Wamekataza hata media binafsi zilizo kuwa tayari kurusha mijadala ya bunge!.Wanajanvi Japokuwa vikao vya Bunge serikali imedai hawataweza kutuonyesha live kutokana na ufinyu wa bajeti lakini wameamua kutuonyesha kiduchu, naomba kuuliza je aliyekuwa waziri wa Mali Asili na utalii kwenye awamu ya Kikwete yuko wapi? Bungeni haonekani au naye ana adhabu kama wabunge kama kina Tundu Lisu?
Nawasilisha!
Vyote kwa pamojaKwani umefuatilia bunge ukabaini kwamba hayupo bungeni au umeanzisha Uzi baada ya kummiss ghafla?
Kwani umefuatilia bunge ukabaini kwamba hayupo bungeni au umeanzisha Uzi baada ya kummiss ghafla?
Ha ha haaa!Vyote kwa pamoja
Nyalandu ana duo citizenship, mara nyingi yupo Marekani nchi yake ya moyo, Tanzania huja kwa biashara aidha ya siasa au utalii. Usicheze na diaspora.
Kutoswa tenaAtakuwa amevunjikwa moyo baada ya kutoswa...
Uwaziri...Kutoswa tena
mkuu naomba maelezo ya hiyo avatar...inanifurahisha sanaUwaziri...