Mbunge Tundu Lissu pamoja na kelele zote hili darasa lipo kwenye jimbo lako.
Umeshindwa vipi kuwasaidia hawa wakati watoto wako wanasoma nje ya nchi!
Inakuwaje unazuia wananchi kuchangia maendeleo yao?????????????
shule ya msingiUnyaghumpiView attachment 159690
Hivi mnadhani Lisu ni mtu wa maana kwenye hii nchi hana kitu ni mtu fulani mleta shida na kelele tu.
achilia mbali yote mbona Lisu kavaa blauzi au ni macho yangu? mapunga ni wengi sana nchii hii sikutegemea.
kitu cha tusker baridiiii na kimodo cha hatari pembeni.
kwa hiyo hiyo miradi ya maendeleo serikali ilipanga kwa kutegemea michango ya wananchi?na kodi za wananchi wanazokusanya wanapeleka wapi? hayo mambo watu wa Arusha tuliisha achananayo tunaibana serikali kutumia kodi zetu kutuletea maendeleo ikibidi mpaka maandamano
Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!
Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?
aibu ya chama tawala. hili ni lenu msimsingizie LISU. hebu mpeni pesa za serikali muone kama shule madawati dawa za hospitali n.k kama hayatajengwa na kusimamiwa ipasavyo. tatizo la ccm hamna uwezo wa maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. hili suala la shule kwa mb lisu si la kwake peke yake hata ukienda kwa mb KOMBA, na kwengineko ambako ccm inashikilia hali ni hiyohiyo hivyo asilaumiwe LISU laumu CCM na serikali yake.
Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundushwa na mwalimu Juliana Joseph hukuwakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya madarasa ya shule ya msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia fedha zote zitatoka serikalini, imeelezwa na wananchi wa jimbo hilo kufuatia miradi mingi ya maendeleo kukwama kwa miaka minne sasa, na kurudisha nyuma maendeleo!
Je, ni kweli CHADEMA wanazuia maendeleo katika majimbo yao?
Siyo kama yule anayebaka wanafunzi wa shule ya msingi na kuwaambukiza gono,kaswende,dengue na ile eeeerrr wanaita nini vile?...Uki......i
Lissu hajui kazi ya Mbunge ni nini!
CCM sisi bajeti yetu twaipeleka kwenye sherehe za muungano bhana, kwani kwa gharama zote tulizotumia kwenye muungano tungeshindwa kujenga madarasa na kununua madawati?. ccm sisi ni wazee wa kunywa urabu na kucheza kiduku kama mh luku ya tanesco na mheshimiwa nyani wa Tyson..
Hii bar ni ile bar ukitoka tu hospitali ya mirembe, kama unakuja mjini iko kulia apoachilia mbali yote mbona Lisu kavaa blauzi au ni macho yangu? mapunga ni wengi sana nchii hii sikutegemea.
kitu cha tusker baridiiii na kimodo cha hatari pembeni.
Huyu ndiye Lisu yeye ni vurugu na kunywa pombe hana na hajui maendeleo yanaletwa vipi kwenye jamii.