Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 66
Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
- Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
- Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
- Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Fikiri kwa makini utaona.
huwa nashangaa sana kuona kuna watanzania leo bado wako katika trivial level za kuangalia mambo, sasa kama kuna watu wenye upeo kama wa ndugu FUSO where is hope for this country, very cheap ngoja nitoke maana unaweza kutapishwa
What is your argument here? in colour, what did you want to say? People like you are hopeless for this country.dhana potufu & upeo mdogo
swala sio kugawana hizo milioni 90/200Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
- Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
- Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
- Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Fikiri kwa makini utaona.
saswa mkuu kwa hiyo sasa tufanyeje?Naomba nimjue Mbunge mwenye uchungu wa kweli wa nchi yetu:
Kama hakuna, basi mujue kwamba wote hawa ni sawa tu, tunawapepea tu wao wanakula kiulaini mnoo. Hakuna cha CDM,CCM,CUF,NCCR etc wote hawa ni walaji tu. Sisi huku tunabaki na ushabiki na kutoleana matusi na chuki, kashfa nk. Wenzetu wala. Tumeliwa kekundu.
- Ambaye amekataa ule mkopo wa mamilioni (up to 200 mil) payable in 5 years?
- Ambaye amekaa kuchukua mkopo wa gari wa milioni 90? Lema? Anybody knows?
- Ambaye amekataa mshahara mkubwa wanaopata, au kutoa japo robo ya mshahara huo kuelekeza sehemu fulani jimboni mwake japo kwa mwaka mmoja?
Fikiri kwa makini utaona.
Swali zuri mno, kwamba imedhihirika wote bilankujali chama ni watu wasioweka mbele maslahi ya Taifa? Na hapa si wale wa CCM tu hapana, na vyama vyote! Tufanyeje tulio wanyonge? wapi kimbilio letu? Ni swali gumu mno.saswa mkuu kwa hiyo sasa tufanyeje?
Mkuu nadhani hapo umeona lilipo tatizo la wengi. Huyu FUSO ni wale wasioweza ku argue kwa hoja, amejifunza humu sentensi au maneno mawili matatu anayatumia kuonekana naye ni critical. Utaona mara "crap" au upeo mdogo etc. Sasa hapo mwenye upeo mdogo ni FUSO au mtoa hoja. Terrible.
Swali zuri mno, kwamba imedhihirika wote bilankujali chama ni watu wasioweka mbele maslahi ya Taifa? Na hapa si wale wa CCM tu hapana, na vyama vyote! Tufanyeje tulio wanyonge? wapi kimbilio letu? Ni swali gumu mno.
Huna point, ndiyo maana majibu yako yametawaliwa na jazba na hasira zisizo na sababu. Hapo penye rangi unadhihirisha jinsi ulivyo mtupu katika fikra. Kama ingekuwa garbage kama unavyoiita,, umejisumbua kwanini kusoma na kujibu? watu wenye akili timamu huwa hawajisumbui na garbage. You are contradicting yourself mamie.garbage, unafikiri kukataa mshahara wako ndiyo initial stage of any change? jaribu kazini kwako mwisho wa mwezi huu then uje utuambie itakuwaje.
dhana potofu & upeo mdogo
Soma thread kabla ya kujibu!