Mbunge Mwambe afanya kikao na OCD

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Mhe. Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni.

Leo tarehe 20 Julai, 2023 amefanya kikao na OCD Masasi pamoja na wasaidizi wake. Katika kikao hicho wamejadili mambo mbalimbali ya kiusalama Jimboni Ndanda. Pia walijadiliana juu ya ujenzi wa Kituo kipya cha Polisi kwenye kata ya Chiwale.

Kwa kuanzia Mwambe aliahidi kutoa mifuko 100 ya saruji kufanikisha huo ujenzi.
​
 
Iwe jua iwe mvua HAWEZI kurudi Bungeni 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…