Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,784
Nimefurahi kula mhogo leo, kumbe mtamu.Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster.
Mulamula ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Februari 1, 2023 wakati akichangia taarifa za kamati, ambapo amesema hakuwa amepanda usafiri huo.
Mbunge huyo amesema kwake kupanda usafiri huo akiwa na wanakamati wenzake ilikuwa ni kitu kipya ingawa alifurahia usafiri wa namna hiyo.
Kingine ameliambia Bunge kuwa leo ni mara yake ya kwanza kusimama akiwa 'back bencha' (mbunge wa kawaida) ambapo pia ameeleza furaha yake kuwa amepokewa vema.
"Kila wakati ni kushukuru na kila jambo ni kushukuru, naomba nishuruku namna Spika alivyonipokea na kunipangia kamati ya Viwanda na Biashara, namshukuru sana pamoja na viongozi wa kamati yetu," amesema Mulamula.
Katika mchango wake mbunge huyo ametaja wananchi kutambua hakuna kitu kikubwa kilichoanza kwa ukubwa bali kila kitu kilianza kwa udogo wake.
Source: Mwananchi online
Kwani wa Mama ambao wana watoto na mume hawana wapenzi wa jinsia yao?..Ni mama ana mume na watoto.
..ziko mpaka video clips akimtambulisha mume wake.
..kuna wachangiaji wanatumia vibaya mitandao kuchafua wengine.
Komwe lile!!!!Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster.
Mulamula ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Februari 1, 2023 wakati akichangia taarifa za kamati, ambapo amesema hakuwa amepanda usafiri huo.
Mbunge huyo amesema kwake kupanda usafiri huo akiwa na wanakamati wenzake ilikuwa ni kitu kipya ingawa alifurahia usafiri wa namna hiyo.
Kingine ameliambia Bunge kuwa leo ni mara yake ya kwanza kusimama akiwa 'back bencha' (mbunge wa kawaida) ambapo pia ameeleza furaha yake kuwa amepokewa vema.
"Kila wakati ni kushukuru na kila jambo ni kushukuru, naomba nishuruku namna Spika alivyonipokea na kunipangia kamati ya Viwanda na Biashara, namshukuru sana pamoja na viongozi wa kamati yetu," amesema Mulamula.
Katika mchango wake mbunge huyo ametaja wananchi kutambua hakuna kitu kikubwa kilichoanza kwa ukubwa bali kila kitu kilianza kwa udogo wake.
Source: Mwananchi online
Inafika wakati unagundua kuna mambo yana umuhimu zaidi kuyasimamia kuliko viyoyozi na V8Hataki viyoyozi vya bungeni?
Daaah watu mnafikiria mbali.Kamjibu Mtu hapo kuwa hata Yeye alivyopanda Basi Mazishini nchini Uingereza hakupaswa Kukasirika na kuishia Kumtumbua.
Tena ameenda mbali zaidi kwa kusema hakuwahi kupanda usafiri huo ila ameufurahia mno.Kamjibu Mtu hapo kuwa hata Yeye alivyopanda Basi Mazishini nchini Uingereza hakupaswa Kukasirika na kuishia Kumtumbua.
Hana njaa huyo. Kwanza huwa haishi tanzania. Hapo wanampotezea muda tu na joto la tz.Hataki viyoyozi vya bungeni?
Hivi kikatiba hii imekaaje?Hata huo ubunge angetenguliwa tu
Hebu tueleweshe ni usomi gani uliotumika hapo?. Liberata alifanya kazi na mtu asiyemjua tena mswahili haswa. Cha muhimu atulie tu kwa sasa maana jumbe kama hizo zikiwafikia chawa itakuwa shida. Japo ujumbe umetolewa kisomi.
Kama anamtazamo huo kwanini hajaondoka kwenda kuishi huko majuu?Hana njaa huyo. Kwanza huwa haishi tanzania. Hapo wanampotezea muda tu na joto la tz.