KanyigoNi mbunge wa jimbo gani?
Jimbo la maziwa makuu. Ila nimependa majibu yakeNi mbunge wa jimbo gani?
"Mbunge huyo amesema kwake kupanda usafiri huo (wa basi) akiwa na wanakamati wenzake ilikuwa ni kitu kipya ingawa alifurahia usafiri wa namna hiyo"Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster.
Mulamula ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Februari 1, 2023 wakati akichangia taarifa za kamati, ambapo amesema hakuwa amepanda usafiri huo.
Mbunge huyo amesema kwake kupanda usafiri huo akiwa na wanakamati wenzake ilikuwa ni kitu kipya ingawa alifurahia usafiri wa namna hiyo.
Kingine ameliambia Bunge kuwa leo ni mara yake ya kwanza kusimama akiwa 'back bencha' (mbunge wa kawaida) ambapo pia ameeleza furaha yake kuwa amepokewa vema.
"Kila wakati ni kushukuru na kila jambo ni kushukuru, naomba nishuruku namna Spika alivyonipokea na kunipangia kamati ya Viwanda na Biashara, namshukuru sana pamoja na viongozi wa kamati yetu," amesema Mulamula.
Katika mchango wake mbunge huyo ametaja wananchi kutambua hakuna kitu kikubwa kilichoanza kwa ukubwa bali kila kitu kilianza kwa udogo wake.
Source:mwananchi online
Eeeh kumbe huyu mweupe hivi kichwani, Mh. Rais alifanya vema sana kumtoa, hamna kitu kabisa huyu, hivi hawa watu ni akili zinapungua au?Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster...
Hata huo ubunge angetenguliwa tuEeeh kumbe huyu mweupe hivi kichwani, Mh. Rais alifanya vema sana kumtoa, hamna kitu kabisa huyu, hivi hawa watu ni akili zinapungua au?
Nadhani anataka atenguliwe Ubunge wake pia. Nahisi najua kwa nini havitaki vyeo hivi.Hujamuelewa, hao wanapigana vijembe na boss wake aliyemteua kuwa mbunge.
Hataki viyoyozi vya bungeni?Nadhani anataka atenguliwe Ubunge wake pia. Nahisi najua kwa nini havitaki vyeo hivi.
Mkuu kwa iyo ni blender? Na huyo mpenz wake ni nani?Huyo labda kama anamzungumzia mtu ambae ni mpenzi wake wa jinsia yake otherwise hana ujumbe wowote zaidi ya kujiona bwege hajiamini
Mkuu nijibu basi usibaki kushangaa tu.Huyo labda kama anamzungumzia mtu ambae ni mpenzi wake wa jinsia yake otherwise hana ujumbe wowote zaidi ya kujiona bwege hajiamini
Mkuu kwa iyo ni blender? Na huyo mpenz wake ni nani?
Umwekewa maneno ya kuwachonganisha nawe umeyameza tu.Eeeh kumbe huyu mweupe hivi kichwani, Mh. Rais alifanya vema sana kumtoa, hamna kitu kabisa huyu, hivi hawa watu ni akili zinapungua au?
Wanaongozwa na upambaff na chuki!..Ni mama ana mume na watoto.
..ziko mpaka video clips akimtambulisha mume wake.
..kuna wachangiaji wanatumia vibaya mitandao kuchafua wengine.