leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,181
Mbunge Kasheku almaarufu Msukuma, amepiga simu katika kipindi cha 360 na kuwapa pole Clouds kwa yaliyotokea hivi karibuni na kumpongeza Ruge kwa busara aliyotumia, pia akasema mabaya yaliyopangwa dhidi yake yamewarudia Wenyewe.
Mwisho amewahakikishia Clouds kuwa yupo nyuma yao na hivi karibuni atatinga Clouds kuliamusha dude, pia amechangia sh milioni moja kwa kijana aliyeokoa wenzake kwenye ajali ya kuzama ziwani mkoani Geita.