Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
Wewe mbona hujaficha ukichaa wako?Ficha upumbavu wako.
Kuzulumu fedha za Wafanyabiashara na kuuwa Wananchi na wengine kuwapoteza.Wewe mbona hujaficha ukichaa wako?
Ficha ukichaa wako. Kuwa kichaa siyo lazima ujitangaze kuwa wewe ni kichaaKuzulumu fedha za Wafanyabiashara na kuuwa Wananchi na wengine kuwapoteza.
Kupiga Risasi Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano huku mkishangilia Mwenyekiti wenu wa UVCCM akisema dawa ni kutumia sindano ya sumu
Kutuaminisha kuwa analala na Mafaili na kulalamika kuwa Uraisi ni kazi ngumu wakati huo huo anakwenda kuiba na kuharibu uchaguzi.
Upinzani uko palepale na haufi Ng'o!
Tunamsubiri Tundu Lissu tumpe mapokezi ya Kifalme.
We mjinga sanaKuzulumu fedha za Wafanyabiashara na kuuwa Wananchi na wengine kuwapoteza.
Kupiga Risasi Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano huku mkishangilia Mwenyekiti wenu wa UVCCM akisema dawa ni kutumia sindano ya sumu
Kutuaminisha kuwa analala na Mafaili na kulalamika kuwa Uraisi ni kazi ngumu wakati huo huo anakwenda kuiba na kuharibu uchaguzi.
Upinzani uko palepale na haufi Ng'o!
Tunamsubiri Tundu Lissu tumpe mapokezi ya Kifalme.
Mbona unakuja na ID mbili usikimbie.We mjinga sana
Jibu hoja yakeMbona unakuja na ID mbili usikimbie.
Unazidi kunibadilishia fake id's🤣😂Jibu hoja yake
Je mliimaliza???Huoni yule Mungu wenu alivyopigwa na korona kirahisi kwa sababu yeye aliamini katika ushirikina?Hata corona ilikuwepo kila mahali lakini Tanzania tulifanya kivyetu
Huna hoja kumbeUnazidi kunibadilishia fake id's[emoji1787][emoji23]
Wewe ndio unazunguka na kukwepa Hoja Msukuma feki rudi kwenu Gitega.[emoji38]
Aisee sina mbavu🤣🤣😂Je mliimaliza???Huoni yule Mungu wenu alivyopigwa na korona kirahisi kwa sababu yeye aliamini katika ushirikina?
Siasa mchezo mchafu uliojaa usanii tu
Ni sahihi Kabisa na Kwenye mafuta vile vile wafanye hivyo sio ajabu kuona Bei za mbolea na mafuta kushuka ghaflaIlitolewa ofa mtu alete sehemu mbolea inakopatikana kwa Bei rahisi
NJAA inamtesa kweli huyu, hastahili nafasi yoyote huyu, hana nia njema.Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
January Makamba sio Engineer.Bashe and Electrical Engineer January Makamba are experts of everything irrespective of their academic background.