germstone jnr
Member
- Dec 27, 2011
- 28
- 3
mzee nafikiri ulikuwa unamaanisha Mbatia mwenye ubunge wa fadhila na sio Mbowe mwenye jimbo,tafadhali rekebisha.Nimemgundua Machali kuwa yuko brainwashed baada ya kuona haongelei kabisa kuwa matatizo ya nchi hii yanachangiwa pakubwa na ccm na watawala, bali shutuma zote ni kwa cdm.
Ni ajabu kwake yeye ambapo ni mbunge wa kuchaguliwa kuongea kwa maelekezo ya Mbowe mwenye ubunge wa fadhila!
Mbunge wa Nccr Mageuzi Moses Machali akizungumza leo ktk kipindi cha Hamza Kasongo kwenye Mada inayosema MUSTAKABALI WA TANZANIA KWA MUJIBU WA NCCR MAGEUZI ameshindwa kabisa kuongelea hoja hiyo na badala yake akajikita kuiponda Chadema akisema viongozi wake walichukua mashangingi ya Ubunge wakati waliyakataa, na kuwa Cdm wanakituhumu chama chao na cha Cuf kuwa ni Mamluki wa ccm.
Mwanamtwara mmoja akipiga simu amezidi kumwaibisha Mbunge huyo kwa kumtaka aeleze ukweli wa nini kilimpata Mbatia akiwa jukwaani, lakn Machali amemtetea bosi wake kwa kukataa katakata kuwa hakushushwa jukwaani, bali ni propaganda za Cdm.
Ni masikitiko mno kwa kijana wa umri wake kutoeleza msimamo wa chama chake, badala yake ameongea off-points na kuchemka, huku maongezi yakijikita kwenye jazba na lawama tupu.
Nccr jipangeni upya.
Hata jana katika mahojiano alitumia muda mrefu kutoa hizo nukuu, hadi alikatishwa na mzee Kasongo akiwa anaanza kusimulia nukuu ya 'Plato's Myth of Metals' ambayo inasema "there are three kinds of people: Gold ,Silver and Bronze.Huyo huwa ni tupu, nilipambana naye 2010 akanipigia salute chuo kikuu SAUT MWANZA, KAZI YAKE NI JAZBA,KELELE NA KUMNUKUU MALCOM X KWA KILA KITU KILA WAKATI NA QUOTATION ILE ILE
Mbunge wa Nccr Mageuzi Moses Machali akizungumza leo ktk kipindi cha Hamza Kasongo kwenye Mada inayosema MUSTAKABALI WA TANZANIA KWA MUJIBU WA NCCR MAGEUZI ameshindwa kabisa kuongelea hoja hiyo na badala yake akajikita kuiponda CHADEMA akisema viongozi wake walichukua mashangingi ya Ubunge wakati waliyakataa, na kuwa CHADEMA wanakituhumu chama chao na cha CUF kuwa ni Mamluki wa CCM.
Mwanamtwara mmoja akipiga simu amezidi kumwaibisha Mbunge huyo kwa kumtaka aeleze ukweli wa nini kilimpata Mbatia akiwa jukwaani, lakn Machali amemtetea bosi wake kwa kukataa katakata kuwa hakushushwa jukwaani, bali ni propaganda za CHADEMA.
Ni masikitiko mno kwa kijana wa umri wake kutoeleza msimamo wa chama chake, badala yake ameongea off-points na kuchemka, huku maongezi yakijikita kwenye jazba na lawama tupu.
NCCR Mageuzi jipangeni upya.
mtangazaji alimkatisha,lakini inaonesha hicho ndo alipanga kwenda kuwajulisha watz akizan ataonekana kaongelea jambo la maana kumbe anajionesha alivyokilaza.Kiongozi wa hicho kipindi naye hovyo tuu mtu ataongeaje mambo ambayo hayapo kwenye mada na anamuachia tuu.
" Mimi kama Mbunge ni mjumbe wa kamati ya Bunge ya nini nini sijui!...Nimetembelea sehemu nyingi, na juzijuzi nilitembelea chuo chaTeknolojia cha Nelson Mandela huko Arusha, nikajifunza mambo mengi sana..."kweli bana,machali jana alichemka sana tu,tuache sifa na ushabiki.kila anachoulizwa analeta historia ndefu ambazo hata sio majibu kwa alichoulizwa.aliponichefua zaidi ni hiyo issue ya mitaala ya ukanda au wilaya,hakuweza hata kuelezea akaeleweka zaidi ya kukazia mila na desturi,et technologia ya ikanda au eneo husika.0vyoooo kabisa
amejitahidi na atakuwa mwiba kwa cdm na dk mlemav wao
Japokuwa mkubwa wa nchi anajaribu kukinyenyua nyenyua kwa kuwaongezea wabunge kwa nguvu za rungu la dola, lakini wapi, la kuvunda halina ubani.Kishajifia hicho chama wala kisikupe hedeache
machali kaongea vizuri tu,kuweni wakweli kwa watu neutral kama mimi nimependa alivyotoa hoja zake!