Elections 2010 Mbunge mmoja wa CHADEMA amewekwa na CCM

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
ni joseph selasini wa rombo. lengo lilikuwa kujiepusha na lawama za kumbeba mramba mwenye kesi ya ufisadi. mramba alikuwa mshindi halali wa jimbo la rombo

huko vunjo nako mshindi halisi alikuwa mrema wa chadema ila ccm iklimsaidia mrema wa tlp ili kumshukuru kumuunga mkono jk waziwazi na kuonyesha kuwa chadema sio tishio katika majimbo mengi kama inavyoaminiwa
 

duh, kama siasa ziko hivi?????.......................
 

Smelling fishy!
 

 


shit brain
 



Ungeniambia CHADEMA walimsimamisha Ole Sendeka ningekuelewa. Lakini hii inaonyesha kabisa ni fix.
 

Hii tabia ya kuokota habari kwenye vilabu vya mbege halafu mnazileta hapa JF inaninaboa sana!
 
hebu rudia tena andika kwa mtiririko, na ujengee hoja yenye nguvu, au fuatilia vizuri halafu utupe hiyo.
sijaipata............
 
ushuzi mtupu!
 


hizi ni zama za Mageuzi wala msiwe na shaka atajiona yuko salama zaidi ndani ya Chadema kuliko angeitumikia CCM then atakuwa mwana Mageuzi halisi.....
Mjomba wetu mrema wanavunjo tumempa baada ya kuona anavyo zalilika while kuna kipindi alitumikia nchi kwa uaminifu na kutetea wananchi
ila akifanya mchezo wa unafiki kwa CCM ajue kabisa tutampiga kiandu atiiiiiiiiiii hatutaki mchezo wa kinuka nuka...
kama ni mbuzi ya mrumo tutamchinjia.....:smile:
 


kichaga kama amempa kuku(ndege) ni dharau moja kubwa sana bwana wale wachaga mtakubaliana na mimi angempa Mburu au umbe ndo tungemmaliza... na wala asingepata kura zote hizo... inawezekana kumpa kuku ndo kulimuongezea kura.....
ote selasini amkari mbee nainenga mndumka ulya mbeta kabisa ....
 
acha ujinga wewe jimbo la Rombo hata 1995 lilikuwa tayari upinzani kwa hiyo wanajua siasa kuliko akili zako wewe! na isitoshe umesahau kuwa Mkwere alimnyanyua mkono Mramba na kumsifu
 

Imekaa kishabiki. Source yako mkuu?
 

Kafanye utafiti zaidi hoja yako haina mshiko kabisa! CCM kamwe hawawezi kufanya hivyo no way. Makamba aachie jimbo??? Unajua kama ingekuwa ni amri yao wangechukua majimbo yote? Mbona Chenge , Rostam na EL wanatuhuma? Mzee wa Kiraracha anakubalika sana Vunjo umeona kura alizopata? Chadema bado ndio chama m-badala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…