Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

Mzee Mangula ni zaidi ya mwanasiasa.

Alinifundisha shule ya msingi wakati akiwa JKT.

Alikuwa anavaa sare za jeshi akija darasani.
Hakika.....

Na hayuko peke yake.....

Wako vijana wengi wasioonekana mbele ya HADHARA walioshiba imani ya CCM kupita maelezo......

Katika MADARASA ya ITIKADI tumefundishwa kuwa CCM ni imani isiyotetereka.....usiwaangalie tu CCM maslahi wanaosukumwa na upepo......

#BinadamuWoteNiSawa
#KilaMtuAnastahiliHeshimaYaKutambuliwaNaKuthaminiwaUtuWake
#UjamaaNaKujitegemeaNdiyoNjiaSahihiYaKujengaJamiiIliyoSawaNaHuru

MWENYEZI MUNGU AMPE UHAI MREFU NA AFYA NJEMA KAMARADA MZEE MANGULA ,aaamin aaaamin🙏

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaCCM
#KaziIendelee
#YetzerHa-tov
 
Gwajima si MWANACCM kindakindaki.....

Hakuna mwanaCCM aliyeivishwa katika MADARASA ya ITIKADI akawa na hulka za Gwajima.......

Gwajima alibebwa na hayati JPM....

HASHTAG CCM IMFUKUZE GWAJIMA

#CCMkwanzaKablaYaYeyote
Kumfukuza kwenye chama, yajayo yatafurahisha. Huku tozo, kule kesi ya Mbowe, katikati sakata la chanjo, hakika CCM iko kwenye mtihani kisiasa
 
Tatizo CCM mnaendeshwa na fikra za mwenye kiti, na hii Ni hatari Sana!
Hamjijengi na kujipima uwezo wa kifikra baina yenu, m/kit akisema hlo halina mjadala!

Hapa tuko sawa__________NDIYO
Au tumekosea____________NDIYO
Hawaeleweki, walipopiga pambio za kupinga sayansi, kukataa chanjo na kuleta uchafu wa miziz na kujifukiza ni hao hao ambao Sasa wanazipigia pambio chanjo! Yan ipo cku m/kit atawaambia kuleni mavi na mtakula kwa sababu m/kit kasema!

Enyi Wana CCM ni nani aliyewaloga??
Unataka kutubadilishia imani zetu ?!!!😲😲😲

Yaani CCM ibadilike misimamo yake ?!! Khaaaa

CCM ni chama cha asili ya kijamaa....SOCIALIST PARTIES are more or less the same as MILITARY HIERARCHIES......our chairwoman is the first and foremost💪.....untouchable by the petty issues and senseless stances....

#MwenyekitiKwanza
#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaElComandanteSSH
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Ndio chanzo cha kuanza kuparuana.
Nukuu ya lisu:
Wakifanikiwa kutumaliza sisi wataanzana wao kwa wao
 
John usigeneralize hisia zako Komredi.....

Chama ni IMANI.....

Na kusingekuwepo watu walindao imani ya CHAMA...kingekuwa Sasa katika "makavazi".....

Unataka kunena ya kwamba hata mh.mzee Mangula naye pia yuko "kimaslahi"?!!!!

SIEMPRE CCM
CCM KABLA YA YEYOTE YULE
Ccm kabla ya yeyote hata kama wakikosea?

Hiki chama 2015 jamaa aliwabeba sana lakini mtarajie mtihani mkubwa na tozo hizi kwa watu, madelu ni economist na ni kiongozi, kweli is it proper kuwaambia watu wahamie Burundi??
 
Namshauri Askofu Gwajima, aamue ya Kaisari ampe yeye na yale ya Mungu ampe Yeye pia. Anachokiona kinachotokea mbele ya macho yake ndiyo sura halisi ya chama chake, yeye ni mtu wa kuja, na atambue alikuja kwa upepo ndani ya chama chake wala kwa kukubalika na makada wahafidhina, atambue fika ya kwamba alikuwa na thamani kubwa mbele tu ya macho ya JPM pekee na wala si ndani ya mfumo wa chama chake.

Huu ni ujumbe kwa wale waliounga juhudi na kukumbwa na upepo wa kudhani ya kwamba kusaliti upinzani na kijiunga na CCM ilikuwa fursa kwao kuendelea kuwika katika uwanja wa kisiasa. Sasa watambue kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao sasa wanaongea na kusikilizwa, huku hoja zao zikionekana si chochote kile zaidi ya chokochoko.
 
Unataka kutubadilishia imani zetu ?!!!

Yaani CCM ibadilike misimamo yake ?!! Khaaaa

CCM ni chama cha asili ya kijamaa....SOCIALIST PARTIES are more or less the same as MILITARY HIERARCHIES......our chairwoman is the first and foremost.....untouchable by the petty issues and senseless stances....

#MwenyekitiKwanza
#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaElComandanteSSH
Kwa kweli zidumu fikra M/kiti
 
Aliondoka LOWASSA na CCM haikuvunjika......

ENDELEA KUJIDANGANYA
Ni kweli ulichosema. Lowassa alikuwa mtu binafsi akitafuta kupata madaraka kwa njia yoyote, mojawapo aliamini anayo nguvu kisiasa.

Kwa sasa Serikali ya CCM inakabiliwa na masuala mazito ya kitaifa (tozo + chanjo + Katiba) yanayogusa maisha ya watu.

Suala la tozo (Slaa) angalau limepatiwa ufumbuzi japo hatujui gharama zitakuwaje. Suala la chanjo (Gwajima) bado ni bichi kabisa. Nchi za Ulaya kuna maandamano ya kupinga chanjo kuwa lazima kwa sababu ufanisi na usalama wake bado uko mashakani. Kuna pia suala la Katiba (Mbowe) ambalo limeghusa matarajio (demokrasia) ya viongozi wa nchi za magharibi, wafadhili wa mipango ya maendeleo ya nchi hii.

Hivyo basi, Serikali ya CCM ijipange vizuri, kushughulikia masuala hayo ya kitaifa
 
Umetambaa kiweledi.....

Huo ndio uchambuzi "unbiased" 👍
 
Nini mantiki ya kukaa mbele ama nyuma bungeni? Wanaojua wanifundishe na mjmi.
 
Acha watifuane. Ubunge wenyewe ni wa kupeana kwa kura za kwenye mabegi.
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
 
Mh.Kirumbe Ng'enda ni mkomavu wa SIASA za CCM zaidi ya huyo Gwajima.....

Mh.Kirumbe Ng'enda amesimamia misingi ya CCM....

ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO

#CCMKablaYaYeyoteYule
Ndio namsikia leo, kwenye mambo ya maana katu huwasikii lakini kwenye mipasho wao huwa ndio washika mike nambari wani.
 
Ccm kabla ya yeyote hata kama wakikosea?

Hiki chama 2015 jamaa aliwabeba sana lakini mtarajie mtihani mkubwa na tozo hizi kwa watu, madelu ni economist na ni kiongozi, kweli is it proper kuwaambia watu wahamie Burundi??
Mkuu mh.Dr.Nchemba alikosea kuitoa ile kauli.....

Mkuu nikukumbushe tu ya kwamba IMANI YA 2 YA CCM INASEMA-

KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE

Mh.Waziri Dr.Nchemba alikosea..KIDIPLOMASIA....

Kwani Burundi nao wangesema "WEZI WANASTAHILI KUPELEKWA TANZANIA"....ungekuwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia....

Uzuri wake alilitambua kosa lake hilo....

#CCMKablaYaYeyoteYule
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Kwani Mzee Mgaya nae anasemaje?
 
Back
Top Bottom