Mbunge: Mimi niko bungeni muda mrefu lakini nakaa viti vya nyuma askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha kuangaliana na Spika!

Nileteeni gwajimaa... Nileteeni gwajimaaa.. Nieteeni ngwajimaaaaaaa ..........
 
Huenda mchango wako mzuri tena wa busara unakufanya uwe karibu na spika. Ili akiwa anachambua mambo spika apate ujumbe bila chenga.
 
Gwajima Bishop ana mtaji wa wajinga wengi mtaani.Shida mfumo umemsitukia.
Alichosemamia Gwajima ndo ujinga ambao serikali ya CCM wakati wa magufuli uliponda chanjo hadi kupima mapapai na mbuzi na ujinga ulishawajaa watu tangu pale
 
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa

Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti cha nyuma lakini askofu Gwajima kaja juzi tu kapewa kiti cha mbele anaangaliana na mh Spika

Kumbe ndio maana Rostam Aziz aliuponda ubunge.
Wananchi wamemtuma Bungeni akawawakilishe, yeye anakwenda kuanza kuangalia nani huwa anakaa mbele karibu na spika. Hizi akili za namna hii ndiyo tunatakiwa tuziondoe bungeni haraka sana ili nchi iweze kwenda kwa kasi tunayoitaka
 
Back
Top Bottom