CCM ndo mdudu gani ?Hapa twaongelea Saccos a.k.a Chadema.CCM iliondoka 1999 wamebaki mwezi tu
CDM imekuwa SACCOSS ?Huyo si angojee tu majibu ya maombi yake ya kupiga deki pale Lumumba! Mbona kama anateseka aanaa
CDM imekuwa SACCOSS ? Africa nzima hakuna chama kikomavu kisiasa kama CDM
Chadema walimuona ni asset ndio maana wakamuachia. Kumbuka walitaka wamtose kabla wakazinduliwa na wenye jimbo.Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamrudishie zile laki tano tano ambazo wengine kumbe hawajawahi kuchangia.Huyu naye atulizane umehama chama sasa shida iko wapi?
Yawezekana Chadema siyo Chama cha siasa kama wabunge wake ndio wa aina hii...bure kabisa!Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA
Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua
Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi
Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi
We tulia tu kiongozi huyu hana muda mrefu atapotea vbaya mno. Huko anakofikiri anahitajika kunawababe pia. Ni jambo la muda tu coz hata km anasema chadema walikwepa kodi hivi hicho chama anachokiamini kimetupa hasara kiasi gani cha matrilion watanzaniaHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
USIDEKE KAMA MTOTO WA KIKELijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA
Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua
Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi
Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi
Useless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?Chadema ni genge la wahalifu ukwepaji Kodi utafunaji ruzuku na michango ya wabunge kuwanyanyasa kingono wabunge wa viti maalumu wabunge wawili wa kike kuoana mwenye chair kuendekeza ngono nk. Ni aibu hii
Fly to kia baby