Vipi ile ya kubaka chizi nayo ameshinda?
Kama kesi hiyo ipo kwanini serikali haijachukua hatua hadi leo au ndio kusema ni mfumo wa kulindana. mm naona madai hayo ni ya uongo, kama kweli alibaka angekuwa tayari amekamatwa na polisi wa kimataifa ambao wanaruhusiwa kuingia nchi yoyote kumkamata mtu yeyote kwa kushirikiana na vyombo vya nchi hiyo na kumfikisha mahakamani katika nchi husika.
Mbona balozi wa Tanzania New York aliyemdhalilisha msichana wa kazi, alishitakiwa na kupigwa faini kubwa, iweje Mhe. Lema ashindikane kushitakiwa?
mm naona hizo ni propaganda na siasa za maji taka za ccm wala hakuna ubakaji wala hakubaka mtu
kuhusu Dr. Slaa, si dhani kuwa dhambi zake ni nyingi kiasi hicho, yy haya aliyofanya hayaathiri maisha ya mtu yeyote lkn ccm walichofanya kinatisha hata kukizungumzia, wengine wamevunja ndoa za watu, wengine wanatembea na wake za watu, wengine wana nyumba ndogo kibao, wengine wauza unga yaani dawa za kulevya, Richmond, Dowans, EPA, IPL, kiwira, bulyankulu, meno ya tembo, utoroshaji wa wanyama hai, n.k. Makamba mnajua kilichomfukuza kazi ya ualimu kigoma, msifuate mkumbo, tafitini kabla ya kusema na kuandika
mnakumbuka kifo cha mwangosi nyororo Iringa, Dr Ulimboka kutezwa, kibanda, kesi ya ugaidi ya Rwakatare na CDM n.k. nani aliyeidanganya serikali na kusababisha hasara kubwa aliyeshitakiwa?fikiria mafuta ya kujaza helikopa yalipatikana na kuwasafirisha washiakiwa watano 3 tu kutoka DSM hadi Shinyanga, mwisho wa siku Mahakama inasema haioni gaidi yeyote mbele yake kwa mujibu wa sheria. kisha jaji akawaonya wanasiasa waache kutumia siasa kuwabambikia watu kesi? je kwann aliyewabambikia kesi hajashitakiwa? kama watz tulitarajia tungepewa taarifa ya kina kuhusu suala hili. ila sina hakika kama walirudishwa kwa helikopta hadi Dsm
mm sitaamini propaganda dhaifu dhidi ya Mhe. Lema hadi pale atakaposhitakiwa na kutiwa hatiani
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika, Wabariki na watu wake wawe na fikra za utafiti ili wapate maendeleo ya kweli na kuondokana na umasikini