Ushangae kwamba jamaa wa pembeni yake akilalamika kuwa wakati anakoroma bahati mbaya sana akaachia ush**zi! Tena wa sauti kubwa!Na bado analipwa posho chungu nzima ya kuuchapa usingizi bungeni! Kaazi kweli kweli!
jamani, maswali gani haya??mfano akifa tutapata hasara gani????????
Huyu hakusinzia bali anatafakari. ndivyo wa cc-magamba wanavyofanya tafakuri zao.Atakuwa wa ccm alikuwa amezidiwa na usingizi.
Mwanahamis Said wa viti maalum (CCM) kutoka Chakechake Pemba
Huyu mzee anatia aibu, duh!!!!!Hii picha haizoeleki, sijui kwanini....
aisee
Hii picha haizoeleki, sijui kwanini....
aisee
Tunamngojea Mkuu aamke si unajua heshima za kiafrika mkubwa akilala haamshi ovyo ovyo?