Rais wa Mbeya? SoB
mungu ni mwema , njama zao zimeshindwa , asante Mungu .
next time lazima tumpate
View attachment 217535
Mh.Sungu amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba huko mbeya.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.