Mbunge jimbo la Makambako

Mbunge jimbo la Makambako

KWATWANGA

Senior Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
116
Reaction score
18
Jamani wadau naomba anayefahamu sifa za elimu ya mbunge wa jimbo la makambako, maana kuna tetesi jamaa kasoma mpaka darasa la pili kaingia mitini. swali je?

Itawezekanaje mtu aliyesoma madarasa mawili kutunga sheria ambazo zitaliongoza taifa kwa mda wamiaka hamsini bila kufanyiwa marekebisho makubwa sana?

Na kama ni hivo kuna haja ya kurekebisha katibu kuhusu masharti ya wagombea ubunge badala ya kusema ajue kusoma na kuandika basi awe na shahada kuanzia moja/ degree.

Huyu mtu atakuwa na uwezo mkubwa wa kuhoji mkataba mbalimbali ya wawekezaji pamoja na kugundua siri za wizi. jamani wadau mawazo yenu jamani sio matusi kwa hili la akili ndogo kutawala akili kubwa.
 
Sifa za Mbunge ni kujua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili, ina maana hiyo sifa hana ? Aidha, kuhusu kutunga sheria yeye= atazitunga kwa kusema NDIOOOOOOOOOOOOOOO.
 
JAMANI WADAU NAOMBA ANAYEFAHAMU SIFA ZA ELIMU YA MBUNGE WA JIMBO LA MAKAMBAKO, MAANA KUNA TETESI JAMAA KASOMA MPAKA DARASA LA PILI KAINGIA MITINI. SWALI JE? ITAWEZEKANAJE MTU ALIYESOMA MADARASA MAWILI KUTUNGA SHERIA AMBAZO ZITALIONGOZA TAIFA KWA MDA WAMIAKA HAMSINI BILA KUFANYIWA MAREKEBISHO MAKUBWA SANA? NA KAMA NI HIVO KUNA HAJA YA KUREKEBISHA KATIBU KUHUSU MASHARTI YA WAGOMBEA UBUNGE BADALA YA KUSEMA AJUE KUSOMA NA KUANDIKA BASI AWE NA SHAHADA KUANZIA MOJA/ DEGREE. HUYU MTU ATAKUWA NA UWEZO MKUBWA WA KUHOJI MKATABA MBALIMBALI YA WAWEKEZAJI PAMOJA NA KUGUNDUA SIRI ZA WIZI. JAMANI WADAU MAWAZO YENU JAMANI SIO MATUSI KWA HILI LA AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA.

  • :angry:

kama ni kweli basi tuanzie kwa lusinde aliyeishia std 3.
 
cha maana ni kubadilisha mikataba yote iandikwe kiswahili kwani tatizo ni nini? mbona kuna bibilia za kisungu na kiswahili
 
​Duh hii kali lakini siwezi kumlaumu yeye binafsi bali nitawalaumu waliomchagua.
 
Ukisema awe na shahada ndipo agombee ubunge utakuwa unatafuta vita na mbunge wa Korogwe Vijijini na yule wa jimbo la Mtela.
 
Jamani wadau naomba anayefahamu sifa za elimu ya mbunge wa jimbo la makambako, maana kuna tetesi jamaa kasoma mpaka darasa la pili kaingia mitini. swali je?

Itawezekanaje mtu aliyesoma madarasa mawili kutunga sheria ambazo zitaliongoza taifa kwa mda wamiaka hamsini bila kufanyiwa marekebisho makubwa sana?

Na kama ni hivo kuna haja ya kurekebisha katibu kuhusu masharti ya wagombea ubunge badala ya kusema ajue kusoma na kuandika basi awe na shahada kuanzia moja/ degree.

Huyu mtu atakuwa na uwezo mkubwa wa kuhoji mkataba mbalimbali ya wawekezaji pamoja na kugundua siri za wizi. jamani wadau mawazo yenu jamani sio matusi kwa hili la akili ndogo kutawala akili kubwa.

Unamshangaa yeye mteule au hao waliomchagua??
 
Hakuna wa kumlaumu maana waliomchagua nao hawajasoma tena wengine walipiga kura kwa kusaidiwa, kwa waliomchagua sidhani kama issue ya sheria na mikataba linawagusa sana wanataka maendeleo yao wao kama wao. Nchi yangu imesahau adilifu na maadili ya uongozi linabaki kuulizana una elimu gani?
 
Kwa wasiomjua huyu ni yule siku ya kupitisha katiba ya Sitta alikata mauno ya kufa mtu bungeni
 
Binafsi Napinga kwa herufi kubwa kushangilia eti nafasi nyeti kama ubunge kushikiliwa na mtu asiye na elimu, hv wajameni tutapigaje hatua za maendeleo kwa kutanguliza kipofu atuongoze wenye macho yetu?? wengi wanafikri siasa ni kuongea sana, kumbe fikra na uwezo mkubwa wa ufikri uletwao na elimu ndio suluhu la kutoka hapa tulipo, ulaya na marekani fatilieni vizuri utakuta maendeleo yao yamejengwa juu ya fikra sahihi za viongozi wao.. kibajaji mpaka abuni na kutafsiri sheria au sera ya maendeleo ni lini jamani? i hate this
 
Ni kweli sio tetesi namfahamu sana hata kupiga saini tu jamaa in shida hiyo ndo ccm
 
Huyo mbunge ndiyo yule aliyekuwa anakata viuno siku Sitta anatangaza ndani ya BMK kuwa katiba inayopendekezwa imepita. # Jah People
 
Elimu yake haitusu sisi kma watanzania,tunachotaka kwetu ni namna gani atatusaidia kupunguza kero za kiuchumi,kielimu nk,hizo degree peleka kwenye utafiti.
 
Jamani wadau naomba anayefahamu sifa za elimu ya mbunge wa jimbo la makambako, maana kuna tetesi jamaa kasoma mpaka darasa la pili kaingia mitini. swali je?

Itawezekanaje mtu aliyesoma madarasa mawili kutunga sheria ambazo zitaliongoza taifa kwa mda wamiaka hamsini bila kufanyiwa marekebisho makubwa sana?

Na kama ni hivo kuna haja ya kurekebisha katibu kuhusu masharti ya wagombea ubunge badala ya kusema ajue kusoma na kuandika basi awe na shahada kuanzia moja/ degree.

Huyu mtu atakuwa na uwezo mkubwa wa kuhoji mkataba mbalimbali ya wawekezaji pamoja na kugundua siri za wizi. jamani wadau mawazo yenu jamani sio matusi kwa hili la akili ndogo kutawala akili kubwa.

Una elimu ya ngazi ipi mkuu?

Post yako ya awali ilikuwa hii:

By KWATWANGA:

Back
Top Bottom