Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,182
- 219,328
hivi kuna haja gani kesi kuendelea kwa ushahidi huu ?Hilo lipo wazi wapo bungeni kwa tiketi ya CCM, sema hatuna mahakama tuna takataka tupu
Kesi inasikilizwa mara moja kwa miezi 6, hukumu 2028hivi kuna haja gani kesi kuendelea kwa ushahidi huu ?
Huu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.Ndiyo maana, baadhi ya watu walimshangaa Mbowe kumwamini Samia. Wanawake wanaweza sana unafiki. Ana uwezo wa kukuonesha anakupenda sana, na wakati huo huo akawa anafanya vioja.
Ukimchunguza kwa umakini Samia, ni vigumu sana kumwamini. Ana uwezo wa kuuma na kupuliza zaidi ya Kikwete.
Mahakama ilishavunja hiyo ndoa , kuendelea kuitambua ni kuvunja sheriaHuu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.
Acha Hizo bwashee!
Kassim Majaliwa anasemaje?Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti , Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa ccm , uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho , Bwana Chongolo .
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya , nanukuu " CCM oyeee !! Kidumu chama cha Mapinduzi , Samia Oyeee " Mwisho wa kunukuu .
Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba , Hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm , lakini kuna Wajinga wanabisha , Sasa hiki kinachotokea ni nini ?
View attachment 2697806
Alichounganisha Mungu!Mahakama ilishavunja hiyo ndoa , kuendelea kuitambua ni kuvunja sheria
Ngoja nimcheki kwa PMKassim Majaliwa anasemaje?
Vipi kuhusu kilichounganishwa na ShetaniAlichounganisha Mungu!
OhoooooooMke wa mkubwa Fulani huyo...
Usemalo Ni Kweli Wala Halihitaji Rocket Science KulijuaHilo lipo wazi wapo bungeni kwa tiketi ya CCM, sema hatuna mahakama tuna takataka tupu
Shetani hana Nguvu ya kuunganisha yeye ni Mvunjaji yaani Jambazi 😀Vipi kuhusu kilichounganishwa na Shetani
Katelephone jipakulie kwa utuvu sasa hata tumbili kaissha pigwa chini! Huko mbogamboga hiyo mboga imemfuata katelephoneKutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti , Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa ccm , uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho , Bwana Chongolo .
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya , nanukuu " CCM oyeee !! Kidumu chama cha Mapinduzi , Samia Oyeee " Mwisho wa kunukuu .
Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba , Hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm , lakini kuna Wajinga wanabisha , Sasa hiki kinachotokea ni nini ?
---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.
View attachment 2697806
Pingu zilishafunguka wewe ni shakula ya katelephone hichoHuu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.
Acha Hizo bwashee!
Hawa wote wanahangaika hivi sasa bila kujua wapi pakutokea au wapi pakupatia amani. Safari zao za kisiasa ndiyo hivyo tena zimeshafika ukingoni.Hilo lipo wazi wapo bungeni kwa tiketi ya CCM, sema hatuna mahakama tuna takataka tupu