Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mbona jana 2meletewa ripoti hapa kuwa ametoa vitanda ktk hospital hapo mjini.wee gamba acha majungu.KATIKA WABUNGE NNAOWAZIMIA UKIMWONDOA KAMANDA LEMA AMBAE NAMKUBALI BASI NI REV.PETER MSIGWA.usitake niwadharau iringa mjini..huyo bwana ni commited..usitake 2kutukane arusha.MSIGWA AME2SAIDIA SANA MERU.ukitizama 24hrz hilo shangingi lake utakuta lina vumbi la mbuguni,maroroni msi2 wa mbogo na engarenanyuki mda wote wa kampeni.pliz Mwache kabisa..
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
Mnataka afungue banda la Mama Lishe, mle bure ndio mjue anafanya kazi? Lukuvi? Makinda?
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
Kakimbilia Morogoro ndiko alikowekeza zidi kuliko Iringa.Hivi kweli jamani yule mama Mbega kapotelea wapi? Mwenye taarifa zake atujuze.