Huyo jamaa anajiita amekimbia ccm,kama hili kwake ni udhalilishaji wa cdm basi yampasa arudi ccm.
Hii sasa kali. Na banghe vp?
LAbda amemwombea afufuke siku ya kiama!!!!!!!!!!!!!
Hv hk ktendo cha m2 kufa then unanza kumuombea ili afufuke hl jambo lmewah kutokea ktk karne h?
Jaman kwa mwanaharakat kama lema ckutegemea kuona kama angeweza kupoteza muda wake kumuombea m2 alyekufa il afufuke,jaman namheshmu na nnamkubali sana mh godbeclema but kwa hl allolfanya eti kutaka kumfufua marehem(mke wa diwan arsha)n ujinga wa hal ya ju
MH LEMA KUNA UWEZEKANO KUNA WATU WANAKUPOTOSHA ILI UPOTEZE CFA YAKO TAKE CARE MY BROTHER
Source:WAPO RADIO
Hii sasa kali. Na banghe vp?
inaendana kwa karne hii mwakilishi wa watu unaamini ujinga,pia inawaonyesha uwezo wa kufikiri wa kiongozi wenu
Maombi yalianzia nyumbani kwa marehemu eneo la Njiro kwa masaa matatu bila mafanikio na baadaye wakahamia katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mount Meru ulipokuwa umehifadhiwa mwili wa marehemu ambapo waliomba wapewe mwili na kuendeleza maombi tena kwa zaidi ya masaa sita bila mafanikio.
Wapo wafu tuu!Wapo wapo tu!
Kuna wale wanaosali huku wamekaa kwenye mabenchi na viti, wakiburudishwa na mapambio ya warembo! Mrembo anaimba kwa sauti nyorooro eti ameonja utamu wa Yesu, yaani mtoto wa kike ameonja utamu wa mungu wao mwanaume. Sijui laaana !Mambo ya imani ni ya imani na ya chama ni ya chama,.. mbona kuna viongozi wengine imani zao zinawafanya wanagonoka wanaposali,....tuseme ni wafuasi wa Cameron?