King Leopold II
Member
- Aug 20, 2014
- 56
- 102
Wacha ipuyange na kuwanyoosha watu flani.Serikali inaendelea kupuyanga
Huna lolote!Kwa nyinyi bado hamjawa size ya serikali.Km hutaki anzisha hako ka-uchwara kako uone!Hii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
masikini mkubwa ww kima wazo chanzo cha kukamatwa una kijua had una halalisha adhabuAkamatwe atiwe adabu...
Usimcharaze fimbo mkiani, ponda kichwa!Ukitaka kuua nyoka....