Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,428
Mbunge wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amewataka wazazi na walezi katika halmashauri hiyo kuwasaidia watoto kuhitimu elimu ya juu ili kuwatengenezea fursa bora ya maisha ya baadae badala ya kuwaozesha wakiwa bado wadogo.
Cherehani ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi wa eneo hilo wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi na kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Cherehani iliyopo Kata ya Ubagwe halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga.