mbunge chadema atoa gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbunge chadema atoa gari

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mareche, Mar 31, 2011.

 1. m

  mareche JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mbunge wa chama cha chadema jimbo la ilemela mwanza ameanza kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake kwa kutoa gari la kukbebea wagonjwa hongera sana mbuge mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na watu wake
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  mmh imekaaje hii....Yote kwa yote ninampongeza sana kwa kuwajali wapiga kura wake kwa vitendo,hii ndo tunataka na sio kuwa wabunge vikao,sifa na posho.Naamini pia aliahidi mengi zaidi ya hili,ninamuombea kwa Mungu ampe moyo na uwezo wa kutimiza na hayo mengine pia....peoples power!
   
 3. s

  sirng'udi Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  that is good we need more than that i know it is our time to fight for our independence najua wapo mtakaochonga lakini chadema ndo chama ambacho kitatuletea uhuru wa kweli na si wa mafisadi wa ccm.
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  viva le' chademaaaa..... Kina majimshindo, kishongo, marelia sugu, kupeng'e, na wana ccm wengine, pole sanaa.....mtazidi kuumia roho tu
   
 5. m

  mareche JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  na iwaume roho na macho yawatoke
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  good start,inapendeza
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  nampongeza mbunge huyo. sana tu.
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mungu akuzidishie kwa kuhurumia walalahoi ambao wengi wako taabani kimaisha na magonjwa kedekede.
   
Loading...